Sahihi kabisa kuna maneno ya kuongea kwa lengo la kutoa maoni yakoLeo trh 11. 11. 2021 Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai amempa onyo kali kwa Mzee Jenerali Ulimwengu kutokana na tabia yake ya kutoa lugha za kejeli na dharau kwa viongozi mbalimbali na haswa Bunge.
kwa maoni yangu naona,
ni muhimu mzee Jenerali akajitathimini juu ya kauli zake anazo zitoa.
mzee ulimwengu ni mtu maarufu na ana heshimika ktk jamii, hivyo ni bora akaendelea kulinda heshima yake kwa kuwa makini na kauli zake anazo zitoa ambazo hazifai kuwatamkia binaadmu wenzake.
waswahili wanasema, "Heshima ni kitu cha bure"
Amesemaje mkuu?Sahihi kabisa kuna maneno ya kuongea kwa lengo la kutoa maoni yako
Maoni huwa hayabezi watu hayadhalilishi watu hayakebehi watu
Uhuru wa maoni upo lakini si kwa kudhihaki watu
Hata mimi amenikwaza
Mlishaambiwa na Baba wa Taifa, kichwa vya panzi wewe huelewi tu. Dhambi ya ubaguzi haina kikomo, ukiianza tu itakutafuna milele. Acha hizo.....arudi kwao burundi
Facts!Mlishaambiwa na Baba wa Taifa, kichwa vya panzi wewe huelewi tu. Dhambi ya ubaguzi haina kikomo, ukiianza tu itakutafuna milele. Acha hizo.....
Taarifa gani kwa mafano, iweke hapa tuichambue bila kujadili mambo kwa juu juu tu.Leo trh 11. 11. 2021 Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai amempa onyo kali kwa Mzee Jenerali Ulimwengu kutokana na tabia yake ya kutoa lugha za kejeli na dharau kwa viongozi mbalimbali na haswa Bunge.
kwa maoni yangu naona,
ni muhimu mzee Jenerali akajitathimini juu ya kauli zake anazo zitoa.
mzee ulimwengu ni mtu maarufu na ana heshimika ktk jamii, hivyo ni bora akaendelea kulinda heshima yake kwa kuwa makini na kauli zake anazo zitoa ambazo hazifai kuwatamkia binaadmu wenzake.
waswahili wanasema, "Heshima ni kitu cha bure"
Aterke asiterke tutamwongezea mudaMuulizeni Ndugai kama bado ana mpango wa kumuomba Magufuli aendelee kutawala?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Ukimkumbusha huwa hana amaniAterke asiterke tutamwongezea muda
Naunga mkono hoja.Sahihi kabisa kuna maneno ya kuongea kwa lengo la kutoa maoni yako
Maoni huwa hayabezi watu hayadhalilishi watu hayakebehi watu
Uhuru wa maoni upo lakini si kwa kudhihaki watu
Hata mimi amenikwaza
Mtu akikwita 'mbwa' wakati wewe siyo mbwa, Inakuuma nini?Sahihi kabisa kuna maneno ya kuongea kwa lengo la kutoa maoni yako
Maoni huwa hayabezi watu hayadhalilishi watu hayakebehi watu
Uhuru wa maoni upo lakini si kwa kudhihaki watu
Hata mimi amenikwaza
Mpuuuzi huyo, Hana uwezo wa kumtisha ulimwenguMtu akikwita 'mbwa' wakati wewe siyo mbwa, Inakuuma nini?
Ikikuuma, jitathmini. Unakuwa na Tatizo. Sana ningemshauri Spika iwapo sheria za Bunge zinaruhusu, wamwite Jenerali siku ili WAHOJIANE. Awaelimishe, wamwelimishe. Basi. Nakumbuka miaka ya nyuma Serikali na Chama kilikuwa kikimtumia sana mheshimiwa Nape ktk scenario kama hizi. Alikuwa anajitosa kwenye mijadala ya wazi kupangua hoja mbalimbali zilizokuwa zikielekezwa kwa Chama na Serikali yake. Alifanikiwa sana. Hii ya kutisha kwenda mahakamani, Ni uchanga kisiasa.