Vp amewagusa pabaya? Eti apende asipende tutamlazimisha tuuu awe rais daaah [emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787]Mzee ulimwengu inapaswa ajitafakari, au kama ana washauri basi awabadilishe au atafute washauri wazuri.
Kuna mmoja aliwaita watanzania wenzake Malofa, Mwalimu kwenye hotuba zake alisema wazi wazi huyu mpumbavu, huyu mjinga sanaa, huyu anashauriwa na mke wake etc etc but hakuna aliyethubutu kuwagusa...Siasa za Tanzania ni za kuheshimiana....hatuko katika nchi za magharibi....
Kwani haiwezekani mtu kukosoa bila ya kumdharau mwingine?!!!!
Inashindikanaje mtu kumkosoa mwingine bila ya kummwagia DHIHAKA ZENYE CHUSHO?!!!
Siempre JMT
Tutamlazimisha atake asitake. Yeye na Ally KessyMuulizeni Ndugai kama bado ana mpango wa kumuomba Magufuli aendelee kutawala?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Ukiona panya anapitapita sebuleni jua ana shimo la kukimbilia, Ulimwengu ana kwao kwa kukimbilia sisi wengine hatuna. Ulimwengu ana kinyongo tokea alipokosana na aliyekuwa shwahiba wake na baadae kuwa adui yake mkubwa marehemu Ben, akaja mwendazake, kwa mzee wa msoga hakuwa na nongwa nae sababu mzee wa msoga aliwapa ulaji team Ulimwengu akina Salva, Rweyemamu n.kLeo trh 11. 11. 2021 Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai amempa onyo kali kwa Mzee Jenerali Ulimwengu kutokana na tabia yake ya kutoa lugha za kejeli na dharau kwa viongozi mbalimbali na haswa Bunge.
kwa maoni yangu naona,
ni muhimu mzee Jenerali akajitathimini juu ya kauli zake anazo zitoa.
mzee ulimwengu ni mtu maarufu na ana heshimika ktk jamii, hivyo ni bora akaendelea kulinda heshima yake kwa kuwa makini na kauli zake anazo zitoa ambazo hazifai kuwatamkia binaadmu wenzake.
waswahili wanasema, "Heshima ni kitu cha bure"
Akili za kuongea na marehemu mnazo nyumbu tuu.Muulizeni Ndugai kama bado ana mpango wa kumuomba Magufuli aendelee kutawala?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Wamchukulie hatua sasa hivi kwanini waanze kutoa vitisho?Muhimili wa Bunge unapaswa uheshimiwe, na ambaye anajaribu kuuvunjia heshima atachukuliwa hatua za kisheria.
kama anabisha arudie tena kutumia lugha za kashfa na kebehi kwa viongozi na mhimili alafu ataona tabu atakayo ipata.
🤣🤣🤣Muulizeni Ndugai kama bado ana mpango wa kumuomba Magufuli aendelee kutawala?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Akikujibu nitag mkuu maana baada ya taarifa ya habari nimekuja huku haraka sana nikajua nitakutana na alichosema!Amesemaje mkuu?
Vipi na wale wanaojiita wa jalalani?Sahihi kabisa kuna maneno ya kuongea kwa lengo la kutoa maoni yako
Maoni huwa hayabezi watu hayadhalilishi watu hayakebehi watu
Uhuru wa maoni upo lakini si kwa kudhihaki watu
Hata mimi amenikwaza
Malofa na Wapumbavu!!vipi hii imekaa poa?Siasa za Tanzania ni za kuheshimiana....hatuko katika nchi za magharibi....
Kwani haiwezekani mtu kukosoa bila ya kumdharau mwingine?!!!!
Inashindikanaje mtu kumkosoa mwingine bila ya kummwagia DHIHAKA ZENYE CHUSHO?!!!
Siempre JMT
Akiri ni nini?Ulimwengu ana akiri sana. Tatizo amezaliwa katika nchi ambayo watu wake wengi hawana akiri. Huyo angekuwa nchi za watu wenye kujitambua angekuwa mshauri wa Rais. Huyo baba anajua vitu vingi mno na ni mwansheria mbobezi na ni mwana.habari mguli. Mimi ningependa niwe kama yeye kwakweli
Spika Ndugai kuna mahali unakosea! Wewe jikite na wabunge wako na Covid-19 muwajibike kwa wananchi japokuwa hawajawaweka hapo hiyo mlizawadiwa na aliyeenda! Timizeni wajibu went na muache kutaguna fedha za wananchi. Siku hizi hatusikii tena neno WANYONGE!! hivi liliishia wapi.Leo trh 11. 11. 2021 Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai amempa onyo kali kwa Mzee Jenerali Ulimwengu kutokana na tabia yake ya kutoa lugha za kejeli na dharau kwa viongozi mbalimbali na haswa Bunge.
kwa maoni yangu naona,
ni muhimu mzee Jenerali akajitathimini juu ya kauli zake anazo zitoa.
mzee ulimwengu ni mtu maarufu na ana heshimika ktk jamii, hivyo ni bora akaendelea kulinda heshima yake kwa kuwa makini na kauli zake anazo zitoa ambazo hazifai kuwatamkia binaadmu wenzake.
waswahili wanasema, "Heshima ni kitu cha bure"
Leo trh 11. 11. 2021 Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai amempa onyo kali kwa Mzee Jenerali Ulimwengu kutokana na tabia yake ya kutoa lugha za kejeli na dharau kwa viongozi mbalimbali na haswa Bunge.