Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Mzee ulimwengu inapaswa ajitafakari, au kama ana washauri basi awabadilishe au atafute washauri wazuri.
Vp amewagusa pabaya? Eti apende asipende tutamlazimisha tuuu awe rais daaah [emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787]
 
Siasa za Tanzania ni za kuheshimiana....hatuko katika nchi za magharibi....

Kwani haiwezekani mtu kukosoa bila ya kumdharau mwingine?!!!!

Inashindikanaje mtu kumkosoa mwingine bila ya kummwagia DHIHAKA ZENYE CHUSHO?!!!

Siempre JMT
Kuna mmoja aliwaita watanzania wenzake Malofa, Mwalimu kwenye hotuba zake alisema wazi wazi huyu mpumbavu, huyu mjinga sanaa, huyu anashauriwa na mke wake etc etc but hakuna aliyethubutu kuwagusa...
 
Leo trh 11. 11. 2021 Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai amempa onyo kali kwa Mzee Jenerali Ulimwengu kutokana na tabia yake ya kutoa lugha za kejeli na dharau kwa viongozi mbalimbali na haswa Bunge.

kwa maoni yangu naona,
ni muhimu mzee Jenerali akajitathimini juu ya kauli zake anazo zitoa.
mzee ulimwengu ni mtu maarufu na ana heshimika ktk jamii, hivyo ni bora akaendelea kulinda heshima yake kwa kuwa makini na kauli zake anazo zitoa ambazo hazifai kuwatamkia binaadmu wenzake.

waswahili wanasema, "Heshima ni kitu cha bure"

Ukiona panya anapitapita sebuleni jua ana shimo la kukimbilia, Ulimwengu ana kwao kwa kukimbilia sisi wengine hatuna. Ulimwengu ana kinyongo tokea alipokosana na aliyekuwa shwahiba wake na baadae kuwa adui yake mkubwa marehemu Ben, akaja mwendazake, kwa mzee wa msoga hakuwa na nongwa nae sababu mzee wa msoga aliwapa ulaji team Ulimwengu akina Salva, Rweyemamu n.k
 
Muhimili wa Bunge unapaswa uheshimiwe, na ambaye anajaribu kuuvunjia heshima atachukuliwa hatua za kisheria.

kama anabisha arudie tena kutumia lugha za kashfa na kebehi kwa viongozi na mhimili alafu ataona tabu atakayo ipata.
 
Mwambieni Sabufa asiwapangie watu cha kusema hii nchi sio ya familia yake pekee.
Au anataka kumpiga kwa fimbo Jenerali Ulimwengu?
 
Muhimili wa Bunge unapaswa uheshimiwe, na ambaye anajaribu kuuvunjia heshima atachukuliwa hatua za kisheria.

kama anabisha arudie tena kutumia lugha za kashfa na kebehi kwa viongozi na mhimili alafu ataona tabu atakayo ipata.
Wamchukulie hatua sasa hivi kwanini waanze kutoa vitisho?
 
watu hawajiamin kabisa ndio maana wanatunga sheria za kinga za kutoshtakiwa wakistaafu, halafu wanajinasibu kuwa wao ni waadilifu sasa unajiuliza hizi kinga ni za kazi gani?
 
Sahihi kabisa kuna maneno ya kuongea kwa lengo la kutoa maoni yako
Maoni huwa hayabezi watu hayadhalilishi watu hayakebehi watu
Uhuru wa maoni upo lakini si kwa kudhihaki watu
Hata mimi amenikwaza
Vipi na wale wanaojiita wa jalalani?
 
Siasa za Tanzania ni za kuheshimiana....hatuko katika nchi za magharibi....

Kwani haiwezekani mtu kukosoa bila ya kumdharau mwingine?!!!!

Inashindikanaje mtu kumkosoa mwingine bila ya kummwagia DHIHAKA ZENYE CHUSHO?!!!

Siempre JMT
Malofa na Wapumbavu!!vipi hii imekaa poa?
 
Ulimwengu ana akiri sana. Tatizo amezaliwa katika nchi ambayo watu wake wengi hawana akiri. Huyo angekuwa nchi za watu wenye kujitambua angekuwa mshauri wa Rais. Huyo baba anajua vitu vingi mno na ni mwansheria mbobezi na ni mwana.habari mguli. Mimi ningependa niwe kama yeye kwakweli
Akiri ni nini?
 
Mh. Spika angesema tu aache kusema bunge vibaya, sio kusema kuhusu viongozi wote, yeye aongelee taasisi yake , sio kutafuta nguvu ya umma
 
Vitu vimepanda bei mtaani, watumishi wa umma wako hoi, hana habari . ndiyo viongozi wetu.
 
Vitu vimepanda bei mtaani, watumishi wa umma wako hoi, hana habari . ndiyo viongozi wetu.
 
Vitu vimepanda bei mtaani, watumishi wa umma wako hoi, hana habari . ndiyo viongozi wetu.
 
Leo trh 11. 11. 2021 Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai amempa onyo kali kwa Mzee Jenerali Ulimwengu kutokana na tabia yake ya kutoa lugha za kejeli na dharau kwa viongozi mbalimbali na haswa Bunge.

kwa maoni yangu naona,
ni muhimu mzee Jenerali akajitathimini juu ya kauli zake anazo zitoa.
mzee ulimwengu ni mtu maarufu na ana heshimika ktk jamii, hivyo ni bora akaendelea kulinda heshima yake kwa kuwa makini na kauli zake anazo zitoa ambazo hazifai kuwatamkia binaadmu wenzake.

waswahili wanasema, "Heshima ni kitu cha bure"

Spika Ndugai kuna mahali unakosea! Wewe jikite na wabunge wako na Covid-19 muwajibike kwa wananchi japokuwa hawajawaweka hapo hiyo mlizawadiwa na aliyeenda! Timizeni wajibu went na muache kutaguna fedha za wananchi. Siku hizi hatusikii tena neno WANYONGE!! hivi liliishia wapi.

Penye ukweli acha yawekwe wazi na Ulimwengu sio mtoto wa leo hii nchi ameiishi na anayajua.
Tulizaneni wajibikeni.
 
Back
Top Bottom