Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Mlio karibu na Spika mwambieni ahangaike na Slow Slow kwanza.
 
My take:bunge la awamu lote ni bunge mseleleko a.k.a Ahsante Magufuli…livunjwe warudi majimboni washindani Haki bin haki washindi waende bungeni hapo wataheshimika otherwise watatukanwa sana
 
Tangu lini zuzu na mazuzu wenzake wakaheshimika? Eti atake asitake tutamuongezea mda, pumbafu sana zuzu.
 
Tunatatizo la viongozi tunaochagua, Ndio maana tuna kuwa na matatizo tusiotarajia, tunafikiria mambo yatatokea kama tunavyoimba.
Kuna moja ni kiongozi lakini inaonekana uwezo wake mmh, mwingine Raia lakini uwezo wake mkubwa.
Sasa sijui nini kitatokea cheo su uwezo
 
SPIKA NDUGAI AMESHAURIWA VIBAYA KUMTISHA JENERALI ULIMWENGU!

Jenerali Ulimwengu ametumia uhuru wake kutoa maoni na mtazamo wake. Sisi Askofu tumepata nafasi ya kusikiliza kile alichokisema Ulimwengu ambacho kimemuibua Spika wa Bunge Jobu Ndugai kusema yale aliyoyasema kuhusu Jenerali Ulimwengu. Kwa mtazamo wetu, Spika ameshauriwa vibaya kutumia Kiti cha Spika kumtisha Jenerali Ulimwengu.

Mabaya ye yote yakimfika Ulimwengu kuanzia sasa, itabidi Bunge liwajibike kwani Kiti cha Spika kimetamka kupambana na Ulimwengu. Nchi yetu imefika mahali pabaya sana! Kama watu wakubwa na maarufu kama Ulimwengu wanatishwa kwa kutoa maoni yao, tusitegemee watu wa kawaida kuwa huru! Ili kutetea uhuru wa maoni nchini, tuungane kukemea vitisho vya Spika anayetumia Kiti cha Spika kutisha watu wanaotoa maoni huru kuhusu nchi yao.

Hatuwezi kunyamaza wote katika nchi! Sambaza ujumbe huu ili uwafikie wote ili watambue kuwa dhamira ya Mungu kuhusu haki katika nchi haiwezi kunyamazishwa kwa njia ya vitisho vya watu walio na mamlaka!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
 
Tuna speaker WA hovyo na tuna Bunge dhaifu Sana. Speaker aliyejitungia Sheria ya kutoshitakiwa ni speaker dhaifu. Huyu alipaswa aende na mwendazake.
 
Jenerali kaishiwa pesa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…