Mwenzako bado anaamini bado kuna watu wanauheshimu. Too badHuo muhimili udharauliwe mara ngapi? wakati Wananchi wameshaupuuza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzako bado anaamini bado kuna watu wanauheshimu. Too badHuo muhimili udharauliwe mara ngapi? wakati Wananchi wameshaupuuza.
Magufuli kwa kushirikiana na Ndugai kauuwa huo muhimili mbele ya macho ya Watanzania.Mwenzako bado anaamini bado kuna watu wanauheshimu. Too bad
Mlio karibu na Spika mwambieni ahangaike na Slow Slow kwanza.Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .
Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
----+
Akizungumza katikati ya mjadala wa marekebisho ya Sheria mbalimbali uliowasilishwa Bungeni, Spika Ndugai amesema Ulimwengu ambaye ni Mwandishi wa Habari Nguli amekuwa akilikashfu Bunge na Spika apendavyo.
"Jenerali amekuwa akilivunjia heshima Bunge na Spika pia, napenda kumpa onyo kali kuchunga ulimi wake, haipendezi Mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyoovyo, akiendelea na sisi tutaacha ukimya itabidi Watu washughulike nae ndani na nje yaani Mahakamani, habari imfikie uvumilivu wetu umefika mwisho, sisi sio kama anavyodhani" ——— Spika Ndugai
Acha kushinda Vijiwe vya Mama Ntilie Ulimwengu ni Raia na kawa DC kabla hujazaliwaKwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Na sijui Israili anakwama wapi kwani kwa huyu amesharahisishiwa kazi yeye ni kufanya finishing tu.
Tunatatizo la viongozi tunaochagua, Ndio maana tuna kuwa na matatizo tusiotarajia, tunafikiria mambo yatatokea kama tunavyoimba.Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .
Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
----+
Akizungumza katikati ya mjadala wa marekebisho ya Sheria mbalimbali uliowasilishwa Bungeni, Spika Ndugai amesema Ulimwengu ambaye ni Mwandishi wa Habari Nguli amekuwa akilikashfu Bunge na Spika apendavyo.
"Jenerali amekuwa akilivunjia heshima Bunge na Spika pia, napenda kumpa onyo kali kuchunga ulimi wake, haipendezi Mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyoovyo, akiendelea na sisi tutaacha ukimya itabidi Watu washughulike nae ndani na nje yaani Mahakamani, habari imfikie uvumilivu wetu umefika mwisho, sisi sio kama anavyodhani" ——— Spika Ndugai
Ubongo wake utakuwa umevamiwa na kirusi delta.Hivi huyo mtu anajiona kama nani haswa hapa dodoma?
Huyo rais wa nchi tu hawatishi wananchi.
Na kusema atawalinda.Bunge linalopokea wabunge wasiyo na chama
Nasikia tangu alipotoka kwa kina Sanjay Duty bado kidonda hakija ponaUbongo wake utakuwa umevamiwa na kirusi delta.
[emoji12]Muulizeni Ndugai kama bado ana mpango wa kumuomba Magufuli aendelee kutawala?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Siku hazigandiTuna speaker WA hovyo na tuna Bunge dhaifu Sana. Speaker aliyejitungia Sheria ya kutoshitakiwa ni speaker dhaifu. Huyu alipaswa aende na mwendazake.
Jamaa wa hovyo kabisaNa kusema atawalinda.
Safi sana hii na dawa ya wabunge wa hovyo ni kuwapunguzia mishahara na marupurupu iwe sawa na walimu
Anatamba sana sasa hivi maana anajua jiwe alisha muwekea kinga ya kutokushitakiwaSubwoofer ktk tambo zake
Jenerali kaishiwa pesaAmetoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .