Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Ndugai ndiye kiongozi wa muhimili muhimu wa hovyo kuliko viongozi wote
 
Huo muhimili udharauliwe mara ngapi? wakati Wananchi wameshaupuuza.

Ndugai na Bunge lako msilazimishe kuheshimiwa!! You must earn your respect. Kama wewe na bunge lako ni mazuzu mtabakia kuwa mazuzu!! Mbona Sitta na wengine waliokutangulia hawakudharauliwa kama wewe unavyodharauliwa?

Ndugai jaribu kujitathmini pengine utajitambua!! Ujue kukosa mwendazake kukusaidia Wananchi wa Kongwa walishaonesha ishara kuwa wangekutema. Na tunajua alikusaidia ili mubadilishe katiba kwa kuondoa TERM LIMITS na JIWE ili angeendelea kutawala indefinately!!
 
Hawa hamna kuwalegezea. General Ulimwengu tunakaza hapo hapo.

Tunapaswa kumwogopa anayetulisha tu.

Bwana Lwaitama anasema ni heri kufa ukipambania haki, uhuru, usawa na demokrasia kuliko kufa kwa malaria.
Hivi huyu mwamba alikufa?
 
Mzee Ulimwengu nijuavyo lazima atajibu tu, ataanza usinifokee, ukorofi huo, usinitishe, ww huna mamlaka ya kunifanya chochote..

Ngoja tuone
 
Yaani kama paka yaani anavyowatisha wenzie wasikaribie kisa kashika mfupa!
 
Kwenye nchi za magharibi kunatokea ya kina Mawazo, Ben Saanane, Lissu na Mbowe?
Siasa za Tanzania ni za kuheshimiana....hatuko katika nchi za magharibi....

Kwani haiwezekani mtu kukosoa bila ya kumdharau mwingine?!!!!

Inashindikanaje mtu kumkosoa mwingine bila ya kummwagia DHIHAKA ZENYE CHUSHO?!!!

Siempre JMT
 
Ndugai aliisha lichafua Bunge kwa kuwaapisha waliofukuzwa Chadema na wanakula jasho la wanyonge.
 
Back
Top Bottom