Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo muhimili udharauliwe mara ngapi? wakati Wananchi wameshaupuuza.
Tutatengua tuAnatamba sana sasa hivi maana anajua jiwe alisha muwekea kinga ya kutokushitakiwa
Hivi huyu mwamba alikufa?Hawa hamna kuwalegezea. General Ulimwengu tunakaza hapo hapo.
Tunapaswa kumwogopa anayetulisha tu.
Bwana Lwaitama anasema ni heri kufa ukipambania haki, uhuru, usawa na demokrasia kuliko kufa kwa malaria.
Kwani wewe unajuaje kama ni mtanzania? Acheni ubaguzi wa kishamba kenge ninyi nzi wa kijaniKwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Alikuja kukuomba wewe?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wa Aina yako ndiyo polisi huwaita watu wenye hasira Kali huku mtaani
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]The head of the rubber stamp parliament breathing fire on a critic.
Kwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Siyo Jenerali tu Watanzania wote wenye akili Timamu wanatambua wazi kuwa hilo siyo Bunge bali ni genge la majizi na Majambaz ya CCM
Siasa za Tanzania ni za kuheshimiana....hatuko katika nchi za magharibi....
Kwani haiwezekani mtu kukosoa bila ya kumdharau mwingine?!!!!
Inashindikanaje mtu kumkosoa mwingine bila ya kummwagia DHIHAKA ZENYE CHUSHO?!!!
Siempre JMT