Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalizo, kumwonea huruma shetani ni sawa na kuukubali ushetani wake.Haya maswali ni magumu sana kwake jamani muoneeni huruma.
Unataka kulinganisha Mlima na kichuguu. Kichuguu tunakijua na Mlima ni upi.Wana JF, siku mbili hizi kumezuka mtifuano unaotishia amani kati ya Spika wa Bunge na Mwandishi mkongwe na mwanasiasa nguli tokea enzi za ukombozi wa Afrika pia Wakili wa mahakama kuu Jenerali Ulimwengu.
Hii ni baada ya kauli ya kitisho ya Spika Ndugai.View attachment 2007704
Sheitwaan hana rafikiAngalizo, kumwonea huruma shetani ni sawa na kuukubali ushetani wake.
Shetani kazidi kuota mapembe anaamua na kufanya atakavyo wakati atakao mahali atakapo.
View attachment 2007703
Ndugai mauchafu yake anataka kujifutia kwa JeneraliWana JF, siku mbili hizi kumezuka mtifuano unaotishia amani kati ya Spika wa Bunge na Mwandishi mkongwe na mwanasiasa nguli tokea enzi za ukombozi wa Afrika pia Wakili wa mahakama kuu Jenerali Ulimwengu.
Hii ni baada ya kauli ya kitisho ya Spika Ndugai.View attachment 2007704
Akiendelea hivi, "Tutamwitia WATU waje WAMSHUGHULIKIE ndani na nje yaani mahakamani".
Mwisho wa kunukuu.
Ndugai anajichulia kifo. Siku zake zinakaribia. Ngoma ikilia sana.Sisi wananchi tunashangazwa sana na ubabe wa kishamba unaofanywa kupitia mhimili wa Bunge letu. Ikumbukwe hili Bunge la sasa liliundwa kwa kukiuka taratibu nyingi sana kupitia kitu kinachofananishwa na Uchaguzi mkuu 2020
Tumemsikia Spika akitoa onyo kali dhidi ya Jenerali Ulimwengu kuwa wameishiwa uvumilivu.
1.
Spika anakiuka ibara ya 18 ya Katiba ya sasa
2.
Tangu uhuru mpaka leo, Bunge halijawahi kutunga sheria bali linapitisha miswada ya sheria zinazotungwa na Excutives. Ndo maana unasikia wabunge wanasema SERIKALI ILETE SHERIA BUNGENI ili waipitishe.
3.
Ndugai atupatie ushahidi lini Bunge liliwahi kuiwajibisha serikali kupitia ripoti ya CAG
4.
Je, kanuni za kudumu.za Bunge zilifuata utaratibu katika kutungwa na kupitishwa kwake? Kwa nini zinatumika kama sheria wakati hazijakidhi vigezo vya kuwa sheria?
5.
Bunge linatoa wapi mamlaka ya kutishia wananchi?
Bwana Ndugai, wananchi kwa sasa hawafuatilii sessions za Bunge. Haya ni matokeo ya kunajisi sheria za Uchaguzi na ukiukwaji wa maadili ya uongozi.
CCM tuna wakati mgumu sana 2025
Nipinge kwa hoja
Mjinga yule hajielewi. Ndugai ana mabomu Jenerali ana watu"Alisema atatuma watu wa kumshughulikia ndani na nje yaani mahakamani."
Mwisho wa kunukuu.
Kuna bunge pale au kundi la wahuni tuBunge lenyewe limetokana na uchafuzi mkuu wa 2020........lingekuwa ni bunge lililochaguliwa kihalali tusingenyanyua mdomo.
Kwa hiyo akakanyage mafuta ya Alizeti kabisa mkuu???Ubongo wa Ndugai umeharibiwa mno na virusi vya UKIMWI na Kisukari,ni vyema aende Kawe kwenye kwenye madhabahu ya Arise & Shine atapona
Jenerali sio mlafi wa pesa. Na sio mwizi je unajua kuna mtu alitishiwa kurudisha hela aliyoenda nayo India.Huyo jenerali huwa akifilisika tu anatukana hovyo,alimfanyia marehemu mkapa hivyo na mkapa akamnyang'anya uraia wake
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app