Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

Katibu Mkuu yule aliyekuwa anawaita akina makamba kwenye vyombo vya habari au Katibu Mkuu mwengine huyo huyo aliyekuwa anakataliwa na Membe kuwa hajafuata utaratibu.
Mnyika akajifunze kwa PhD inayoheshimika!
 
Haahaa chadema inatisha.Yaani ndugai kaamua kujiingiza mzimamzima Mambo ya chadema.duh...
Ndugai anawafundisha kazi ya katibu.
Kazi ya katibu sio kupayuka bila kuuliza kiongozi wake, alipaswa awasiliane na kiongozi wake kabla ya kutoa maneno yake.
Aibu itawaumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…