johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Mnyika akajifunze kwa PhD inayoheshimika!Katibu Mkuu yule aliyekuwa anawaita akina makamba kwenye vyombo vya habari au Katibu Mkuu mwengine huyo huyo aliyekuwa anakataliwa na Membe kuwa hajafuata utaratibu.