Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Lisu alipotangaza Seif kuwa ndio mgombea wao wa urais Zanzibar, kuna kikao gani kilikaa?Katibu wa CHADEMA amesema hakuna kikao chochote kilichoidhisha hao wabunge 19. Sasa Ndungai anaposema hao wabunge ni halali na atawalinda. Ningependa kujua huo uhalali unatoka wapi?
Bravo mkuuNamna pekee ya kuthibitisha uhalali wa hawa wabunge ni NEC kuonyesha barua ya uteuzi wao kutoka Chadema. Na kuweka wazi fomu walizojaza kukubali uteuzi huo zikiwa na sahihi za viongozi wenye mamlaka ya kufanya hivyo....
Acha upuuzi wako wewe. Raisi/mwenyekiti wa yanga akisema tutaishangilia simba jumamosi mpaka pawe na kikao???? Kuna tofauti gani kati ya hilo na Lisu aliposema tunamuunga mkono swift?? Ulisoma shule gani wewe? Hujui hata comparison??Lisu alipotangaza Seif kuwa ndio mgombea wao wa urais Zanzibar, kuna kikao gani kilikaa?
Hivi mnaamini Mnyika alijisemea tu? Ikumbukwe kuwa yeye ni Mtendaji Mkuu wa Chama hicho kwa hiyo sio mtu mdogo.Ila sidhani kama Mnyika kamwelewa. Mnyika kupayuka hadharani bila kujuwa msimamo wa wakubwa wake ukoje na maamuzi ya vikao vya juu yatakuwaje ni kupwaya kwenye wadhifa wake wa katibu mkuu. Aliyoyasema yalipaswa kusemwa na katibu mwenezi au mwenyekiti mwenyewe ambao nao ingalikuwa ngumu kusema hayo kabla ya maamuzi ya vikao vya chama.
Kama kamati kuu ya chama itaamua kinyume na alichokisema, Mnyika atapaswa kujiuzuru ukatibu mkuu.
Kwa hiyo unataka kusemaje wewe zombi?Lisu alipotangaza Seif kuwa ndio mgombea wao wa urais Zanzibar, kuna kikao gani kilikaa?
Si kila jambo
Sio cha kahawa ni kijiwe cha kupanga utapeli na dili ndio zinafanyika hapo sasaNdugai anapaswa akajifunze kwa Mama Anna Makinda au Msekwa maana bunge chini ya Ndugai limekuwa kama kijiwe cha kahawa,limepwaya!
Wababaishaji tu.Wanunueni waingie CCM Kama mnawataka. Pia CCM ukumbuke kile kitabu chai chenye kurasa 303.
Mmh, yani asiongee anayotakiwa kutekeleza juu ya hao wabunge kisa CHADEMA🤔? Aiseeeh😂😂😂Hakupaswa kusema Sasa...amewapa point chadema za bure
HahahahahahaaaaaaKatibu wa CHADEMA amesema hakuna kikao chochote kilichoidhisha hao wabunge 19. Sasa Ndungai anaposema hao wabunge ni halali na atawalinda. Ningependa kujua huo uhalali unatoka wapi?
Swala la chadema kuita wanachama wao linawahusu yeye lamuhusu nnMmh, yani asiongee anayotakiwa kutekeleza juu ya hao wabunge kisa CHADEMA🤔? Aiseeeh😂😂😂
Tofautisha mtendaji mkuu na msemaji mkuu wa tasisi. Ulishaona wapi kwa mfano katibu mkuu wa wizara akawa ndiyo msemaji mkuu wa wizara? Kipi kitampata kama atakayoyasema siyo msimamo wa wizara yake au waziri wake?Hivi mnaamini Mnyika alijisemea tu? Ikumbukwe kuwa yeye ni Mtendaji Mkuu wa Chama hicho kwa hiyo sio mtu mdogo.
Amandla...