johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Hili ni bunge la 12 bwashee!Alikuwa wapi kuwalinda hawa?
Wabunge waliofukuzwa CUF warudi mahakamani kuzuia wateule kuapishwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni bunge la 12 bwashee!Alikuwa wapi kuwalinda hawa?
Wabunge waliofukuzwa CUF warudi mahakamani kuzuia wateule kuapishwa
Acheni ujinga!Hili ni bunge la 12 bwashee!
AG hana chama wala itikadi ya kisiasa!Nawe ukaamini huo upendo mpya waliyonao wachawi wa CHADEMA.
Kuna taratibu za kichama pia ambazo zina kupa uhalali wa kuwa hapo na usipo zifata utaadhibiwa... Hivyo tuelewe hilo pia.Kwasababu wameshakula kiapo, hivyo nao ni sehemu ya mhimili wa nchi, ambao ni bunge.
AG hana chama wala itikadi ya kisiasa!Nawe ukaamini huo upendo mpya waliyonao wachawi wa CHADEMA.
Kuirushia lawama kamati kuu ya CHADEMA ni kuioneaKamati kuu imeshafeli!
Namna pekee ya kuthibitisha uhalali wa hawa wabunge ni NEC kuonyesha barua ya uteuzi wao kutoka Chadema. Na kuweka wazi fomu walizojaza kukubali uteuzi huo zikiwa na sahihi za viongozi wenye mamlaka ya kufanya hivyo.Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote.
Ndugai amesema wabunge 19 wa Chadema wameteuliwa kihalali na kama Chadema wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu na kuwafokea kupitia vyombo vya habari.
Spika Ndugai amesisitiza kuwa Mnyika bado hajakomaa kisiasa hivyo amemshauri aende kwa Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru akafundishwe namna Katibu mkuu anavyopaswa kutenda kazi zake kwa ufanisi.
Source TBC Aridhio
Maendeleo hayana vyama!
CD4 ikishuka sana, kisayansi mtu hutambulika kuwa hafai kufanya maamuzi sahihi yenye athari hasi kwa watu wengine.Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote.
Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu na kuwafokea kupitia vyombo vya habari.
Spika Ndugai amesisitiza kuwa Mnyika bado hajakomaa kisiasa hivyo amemshauri aende kwa Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru akafundishwe namna Katibu mkuu anavyopaswa kutenda kazi zake kwa ufanisi.
Chanzo: TBC Aridhio
Maendeleo hayana vyama!
Usiwaamini sana Chadema bwashee!Katibu wa CHADEMA amesema hakuna kikao chochote kilichoidhisha hao wabunge 19. Sasa Ndungai anaposema hao wabunge ni halali na atawalinda. Ningependa kujua huo uhalali unatoka wapi?
Hujielewi.Kwa busara tu, Mnyika ajiuzulu. Kwanza anapwaya sana kweny nafasi, hana elimu. Mwenyekiti elimu ni sifuri, KM hana elimu.. Ndo mana chama imekuwa genge la wahuni tu, hakuna mwenye uelewa ya nini kifanyike wapi na kwa muda gn?? Kila mtu msemaji na mtoaji wa matamko. Cheki hata Lisu anatoa matamko tena bila makubaliano ya vikao, ni uropoaji tu. Ni hatari kwa mustakali wa chama.
Haahaa hichi nacho kitukoMnyika akajifunze kwa PhD inayoheshimika!
Tume iweke wazi basiUsiwaamini sana Chadema bwashee!
Ila sidhani kama Mnyika kamwelewa. Mnyika kupayuka hadharani bila kujuwa msimamo wa wakubwa wake ukoje na maamuzi ya vikao vya juu yatakuwaje ni kupwaya kwenye wadhifa wake wa katibu mkuu. Aliyoyasema yalipaswa kusemwa na katibu mwenezi au mwenyekiti mwenyewe ambao nao ingalikuwa ngumu kusema hayo kabla ya maamuzi ya vikao vya chama.Spika Ndugai ametoa ufafanuzi mzuri sana!
Unazungumzia elimu ipi bob?Kwa busara tu, Mnyika ajiuzulu. Kwanza anapwaya sana kweny nafasi, hana elimu. Mwenyekiti elimu ni sifuri, KM hana elimu.. Ndo mana chama imekuwa genge la wahuni tu, hakuna mwenye uelewa ya nini kifanyike wapi na kwa muda gn?? Kila mtu msemaji na mtoaji wa matamko. Cheki hata Lisu anatoa matamko tena bila makubaliano ya vikao, ni uropoaji tu. Ni hatari kwa mustakali wa chama.
lipumba mwenye elimu na anayofanya ni upuuzi mtupu elimu na kuelimika ni vitu viwili tofauti nduguKwa busara tu, Mnyika ajiuzulu. Kwanza anapwaya sana kweny nafasi, hana elimu. Mwenyekiti elimu ni sifuri, KM hana elimu.. Ndo mana chama imekuwa genge la wahuni tu, hakuna mwenye uelewa ya nini kifanyike wapi na kwa muda gn?? Kila mtu msemaji na mtoaji wa matamko. Cheki hata Lisu anatoa matamko tena bila makubaliano ya vikao, ni uropoaji tu. Ni hatari kwa mustakali wa chama.