Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

Hivi Ndugua ndiyo amerithishwa mikoba ya kuwa anatamka maneno ya kutia kinyaa nchini?
 
Waislam wengi ni watu waungwana sana (though mimi sio Muslim). Kwenye hotuba ya Speaker wa baraza la wawakilishi na yule mbunge (mwislam) aliyeenda kusoma dua wamemeombea Hayati Magufuli msamaha kwa kuwa wanatambua kuwa Magufuli alikuwa binadamu hivyo kuna watu aliwakosea. Hawa wa kwetu wameanza kuita wenzao manyani. Inasikitisha sana.
Hata mimi ni mkristo lakini huwa naona sisi wakristo ni wababe wa hovyo sn, usishangae huyu mama akaendeleza hata mchakato wa katiba mpya.
 
Waislam wengi ni watu waungwana sana (though mimi sio Muslim). Kwenye hotuba ya Speaker wa baraza la wawakilishi na yule mbunge (mwislam) aliyeenda kusoma dua wamemeombea Hayati Magufuli msamaha kwa kuwa wanatambua kuwa Magufuli alikuwa binadamu hivyo kuna watu aliwakosea. Hawa wa kwetu wameanza kuita wenzao manyani. Inasikitisha sana.
Huko kuita wenzao ngani ni kawaida yao.... SI UNAKUMBUKA MWINGINE ALIMWITA MWENZIE TUMBILI
 
Inaonekana Ndugai mwenyewe haielewi vizuri hii hadithi ila ameamua kuisema ili aonekane ni mhenga/ana hekima.
 
Kwenye kuendeleza kusimamia haki mwenye macho aambiwi tazama, viongozi wote wameona vilio vya wananchi wanyonge nani atawatetea tena.

Kwenye uchumi nadhani umeshakutana na msemo ‘Rome wasn’t built in a day’.

Sometimes sacrifices za leo ni lazima kwa faida ya kizazi kijacho. Watu waliojenga canals nchi za wenzetu, njia za train za juu na underground; na infrastructure zingine engineers walioshiriki kwenye main designing kwa umri wao wengi waliona mwanzo tu wa projects zenyewe.

Hii miradi ya leo ndio itamfanya mtu alie Arusha miaka ijayo badala kufikiria uwekezaji ni kwenye sector ya utalii tu; kuna opportunity ya kuleta alizeti kutoka Shinyanga mpaka Arusha na train na kukamua mafuta huku aki target soko la kaskazini na nchi jirani.

Watu wanafikiria kutokana na fursa zilizopo, uwezi kufikiria kujenga kiwanda cha kuongeza thamani ya maharage (tin packaging) Tanga wakati hujui utayotoa vipi kutoka mbeya. Lakini ukishawawekea wanatanga access ya barabara au train wanaweza kufikiria hizo possibilities ndio uchumi unavyokua.

Serikali aiwezi kusema iache kutoa elimu kisa inazalisha wasomi kushinda uwezo wa soko kuajiri, hiyo itakuwa ni kuwanyima raia wengine haki zao za msingi. Kwa sasa ni jukumu la wahitimu kuwa wabunifu.

Kupata kwao ajira baada ya kumaliza masomo sio jukumu la serikali, kazi ya serikali ni kuweka mazingira ya kuvutia uwekezaji zaidi ili ajira zizalishwe ndio alichokuwa anajaribu kuwafanyia Magufuli.

Umeshawai kuisikia hii hadithi ya ‘Walt Disney’, alifariki miezi michache kabla ya theme park yake ya kwanza kufunguliwa.

Siku ya uzinduzi mdogo wake akaulizwa “it’s a shame, Walt isn’t here to witness the opening” jibu lake lilikuwa lifuatalo “not at all, he saw all of this first in his head before any of us”. Ndio baadae mtakavyokuja kumuelewa Magufuli investment zikianza kuleta faida.
Kumbe usiwaite wamatumbi wastaafu waliosomesha watoto wao wakiwa na matumaini watapata ajira, watajitegemea badala yake watoto wao wamebakia majumbani, wasijue la kufanya, wanasaiidiana kufuatalia mafao ya kustaafu.
Au wanaambiwa majukwaani wajiajiri, na watu wanaotembelea maviete kwa kodi za wazazi wao na makusanyo tokea HESLB yasiyokuwa na mwisho.

Wangejua mpango wa serikali ni kutokutoa ajira wangetunza hizo fedha na kufanyia mambo mengine. Watoto wakachunga ng'ombe au kuwa vibarua mashambani au wakapiga debe n.a. kuwa makondakta.

Hao unaoongelea waliojenga majiji ya mabeberu wengi wao walikuwa cheap labour za kutoka nchi za mbali, na bado ukilinganisha nchi walizotokea, ujira waliopata waliweza kuishi wao, na kutunza familia walizoziacha huko mbali.
Sisi ni kinyume chake, wageni wanalipwa ujira mkubwa wazawa wanalipwa kiduchu.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kwenye kuendeleza kusimamia haki mwenye macho aambiwi tazama, viongozi wote wameona vilio vya wananchi wanyonge nani atawatetea tena...
Matokeo ya Rushwa na propaganda za hovyo ngoja tuishi miezi minne ijayo bila huyo mwamba utasikia maneno tofauti kwa hao waburutwa.
 
Utanyooka tuu Mataga wewe
Mama ameshika usukani
Mmezoea kupiga dili Sasa mtakula mavi yenu

Nliwaambia muache hiyo tabia ya wizi hamkusikia
Pambaneni na hali zenu mataga nyie
 
Back
Top Bottom