Vitani wanatangulizwa mgambo...
Hata Nyerere alienda Kagera....Abiy Ahmed alipoteremka kwenye uwanja wa medani, TPLF wamesambaratika kama vile hawakuwahi kuwapo.
Samaki hukunjwa awapo mbichi.
Hata Nyerere alienda Kagera....
Mgambo wanaenda kupima uwezo wa adui.
Ayubu anajua anachofanya..Kwa points zote hizi Ayubu anakwama wapi?
Tanesco mwongozo wa gharama mpya ya kuunganisha huduma ya umeme kuanzia tar 5/1/2022
Tatizo tayari Ndungai ameikana hoja yake,sidhani kama atapata uungwaji mkono kwa hoja hewa.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Ayubu anajua anachofanya..
Hata msamaha wake ulikuwa na dokezo juu ya kinachofuata.
Sizani kama alikurupuka..Ayubu hajaachiwa jumba bovu? Kwa body language ya jana? Si ndiyo ya akina Shibuda na CCJ?
Ayubu alistahili waungaji mkono hadharani na kutokea kambi zote.
Nyie msaidieni Mh Spika haya yaleo ni matokeo ya kauli yake kuhusu Bandari Bagamoyo muda mfupi baada ya JPM kutwaliwa wengine tukiwa bado tunaomboleza.
Mungu si dhalimu. JPM alimheshimu sana Mh Ndugai hatukutegemea aseme maneno aliyo ya sema kuhusu Bandari ya Bagamoyo.
Asijaribu, mpaka sasa kama ni ball possession amezidiwa sana."Job Ndugai tembea kifua mbele."
Kama vipi fikiria kuitisha kikao cha bunge cha dharura kabisa kwa ajili ya kadhia hii.
The moment atakapoitisha kikao tu, kabla jogoo hajawika mungu atakuwa ameshampenda zaidi kwa kupigiwa risasi nyingi zaidi ya za lisu. This is Africa!!Mheshimiwa Ndugai kwa kutoa maoni yake kama mtanzania na kama mbunge hakuvunja sheria yoyote.
Kilichofuata baada ya kauli yake hakuna asiyekijua.
Labda ilikuwa katika kudhania afunike kombe, kumbe hapo tena ndipo sasa wale nyuki wa mama walipokuwa wanasubiri!
Kwa matukio mawili haya sasa tunayo picha kamili ya watu wanaotuongoza:
View attachment 2069426
Watu hawa ni muda sasa uthabiti wao wa kutuongoza ukahakikiwa kwa kura ya kuwa na imani nao.
"Job Ndugai tembea kifua mbele."
Kama vipi fikiria kuitisha kikao cha bunge cha dharura kabisa kwa ajili ya kadhia hii.
Taifa lina stahili viongozi thabiti.
Nchi huendeshwa kwa mujibu wa katiba.
Hivi unaona kuna mshindi hapa ?Asijaribu, mpaka sasa kama ni ball possession amezidiwa sana.
Asijaribu, mpaka sasa kama ni ball possession amezidiwa sana.
The moment atakapoitisha kikao tu, kabla jogoo hajawika mungu atakuwa ameshampenda zaidi kwa kupigiwa risasi nyingi zaidi ya za lisu. This is Africa!!
Unafiki unafiki unafiki unafiki unafikiNyie msaidieni Mh Spika haya yaleo ni matokeo ya kauli yake kuhusu Bandari Bagamoyo muda mfupi baada ya JPM kutwaliwa wengine tukiwa bado tunaomboleza.
Mungu si dhalimu. JPM alimheshimu sana Mh Ndugai hatukutegemea aseme maneno aliyo ya sema kuhusu Bandari ya Bagamoyo.
Alitakiwa jana alipoitisha press na waandishi wa habari asiikane kauli yake hapo bado watu wangekuwa nae lkn baada ya kukana alichokisema hakuna atakae kuwa nyuma yakeSizani kama alikurupuka..
Ila nachoamin kuna watu wanamuunga hasa wakubwa.
USIPIME MZEE HAYO NI MAJI MAFUPI LAKINI YANA MAMBAHamna kitu mkuu. Zama za giza nene tulishatoka huko.