- Thread starter
- #41
Nilichojifunza, hawa wasaidizi wa Adam wana mioyo midogo sana. Na wanapopata nguvu huenda ni madikteta sana na wanaendeshwa na emotions sana
Wapo wamama wa shoka.
Bila kuhimiza katiba muafaka na kumtaka awaye yote atake au asitake kuenenda kwa mujibu wake, tutaendelea kuchezewa sana.
Ziheshimiwe kauli za wenye nchi, si watu wanaotaka kuhodhi madaraka tutake au tusitake.