Spika Ndugai, pamoja na Msamaha kukataliwa atembee Kifua mbele

O

Hahahaa haa itabidi umtake radhi.

Hadi sasa mbona kwa uelewa wake mechi mbona bado sana?

Mbona hata hajajipambañua katika first 11 yake nani ni nani?
Chief First 11 yake watakuwa wale Covid 19 je wanaweza wakamiliki mpira wamsaidie ashinde huu mpambano
 
Chief First 11 yake watakuwa wale Covid 19 je wanaweza wakamiliki mpira wamsaidie ashinde huu mpambano

Kwani wale ma striker mahili wazee wa legacy wote wako zamu kwenye lindo muda wote?
 
Alitakiwa jana alipoitisha press na waandishi wa habari asiikane kauli yake hapo bado watu wangekuwa nae lkn baada ya kukana alichokisema hakuna atakae kuwa nyuma yake

Kwani alipokuwa hajaitisha waliokuwa naye uliwaona?
 
Ukishaona speaker wa Bunge ambae ni mhimili huru wa dola unaojitegemea ametoa msimamo wake juu ya jambo fulani halafu ghafla akamuomba msamaha Rais kwa msimamo aliotoa, jua hilo Taifa limefika mwisho na limekufa.

"Mpaka 2025 tutaona na kusikia mengi." -- Mzee wa Upako.
 
Huyo mama asimzingue Ndungai asidhani kujiongelesha hvyo ndo ubabe sana nchi sio ya mjomba ake hii
 
kila mtu anaruka gogo
 
Wale wote wana yellow card wanatakiwa wawe waangalifu wasije wakala red card.

Aliyejipa pia urefa ni huyu huyu tokea kwenye ule mhimili uliojichimbia zaidi?
 
Asijaribu, mpaka sasa kama ni ball possession amezidiwa sana.
Nani amekudanganya kwamba kuongoza kwa ball possession ndiyo ushindi, watu wanatumia counter attack sikuizi.
Hii mechi ni tamu sana ni sawa na dabi ya kariakoo, wacha tusubiri dakika 90 zitaamua.
 
Nani amekudanganya kwamba kuongoza kwa ball possession ndiyo ushindi, watu wanatumia counter attack sikuizi.
Hii mechi ni tamu sana ni sawa na dabi ya kariakoo, wacha tusubiri dakika 90 zitaamua.

Hao ndiyo wale kina "chenga twawala" 😁😁.
 
Nani amekudanganya kwamba kuongoza kwa ball possession ndiyo ushindi, watu wanatumia counter attack sikuizi.
Hii mechi ni tamu sana ni sawa na dabi ya kariakoo, wacha tusubiri dakika 90 zitaamua.
Nani wakucheza counter hapo kwenye kikosi chake, wachezaji wake wote wana yellow card.
shots on target 0
shots off target 1 (kuomba msamaha)
 
Unafiki unafiki unafiki unafiki unafiki

Nimeambiwa yuko ambaye kasahau kwamba aliwambia wananchi hadharani kuunganishiwa umeme ni flati rate 27,000 shillingi kamili. Kageuka huyo huyo anasema mlidanganywa bado nafuatilia nijue ni nani msahaulifu kiasi hicho cha kujibomoa kwa maneno kinywa chake mnyewe.
 
Nilichojifunza, hawa wasaidizi wa Adam wana mioyo midogo sana. Na wanapopata nguvu huenda ni madikteta sana na wanaendeshwa na emotions sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…