Spika Ndugai, pamoja na Msamaha kukataliwa atembee Kifua mbele

Nilichojifunza, hawa wasaidizi wa Adam wana mioyo midogo sana. Na wanapopata nguvu huenda ni madikteta sana na wanaendeshwa na emotions sana

Wapo wamama wa shoka.

Bila kuhimiza katiba muafaka na kumtaka awaye yote atake au asitake kuenenda kwa mujibu wake, tutaendelea kuchezewa sana.

Ziheshimiwe kauli za wenye nchi, si watu wanaotaka kuhodhi madaraka tutake au tusitake.
 
Ndugai kwa kweli sina huruma naye, Mburukenge kabisa yule; atangulie kibla mama naye tutashughulika naye tukishamalizana na Ndugai
 
Usinihusishe na hao wajinga wa chama takataka; dhulma ambazo Ndugai alimfanyia Lissu unaanzaje kumwonea huruma jambazi yule wa Kongwa? Wacha lijifie huko, hata akitangaza Bunge kumlipa Lissu hela zake usiku huu, siwezi kuwa na huruma naye

Wewe ukimchukia Ndugai kuliko Lissu tutakuelewa tu mkuu.

Kwani lipi geni chini ya jua mjomba?

"Hata wale ambao hujinasibu kuwapenda watoto wa wenzao kuliko mama zao nao mbona walisha sikika sana tu?"
 
Sizani kama alikurupuka..
Ila nachoamin kuna watu wanamuunga hasa wakubwa.
Ni kweli kuna wakubwa wengi wanamuunga mkono. lakini mama amewawahi na wote wamenywea!! Wanaume wazima wameufyata mkia!!! Kiti alichokalia mama ni kikali, akiamua kukushughulikia kazi unayo!! kama unabisha mwulize ndugai!! Pamoja na kujisifu kuwa ana faili milembe, hicho kichaa kimepona ghafla! ulishawahi kumwona kichaa anaomba msamaha? historia imeandikwa ! Siyo wote wanaomuunga mkono mama hadharani wako pamoja naye la hasha na mama anajua!! kuna mmoja alimtaja kwa jina lake la kwanza!!
 
Yaàni kuna watu wanadhani wao tu ndio wana matumbo!! Bila aibu wanataka mama asivuke 2025!! eti serikali ya mpito!!
 
Siasa za wazi..
Siasa za ndani mama hawezi washinda,
Ndio maana anawahitaji msoga gang wamuongoze.
 

Tunapokuwa tukiitisha katiba mpya muwe mnaelewa.

Katelefoni sasa ni muumini wa katiba mpya, au siyo?
 
Yaàni kuna watu wanadhani wao tu ndio wana matumbo!! Bila aibu wanataka mama asivuke 2025!! eti serikali ya mpito!!

Kumbe kinachogomba hapa ni matumbo yao na yale ya kuwekwa na Mungu ni geresha tu?
 
Kila mmoja hutetea wake,
So hakuna mshindi wala mshindwa
Ila ndugai kakosea
Na mama amesema tumsamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…