Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

Either anataka kuweka mambo sawa, au anajiuzulu, au anawaambia wanaomtisha kwa vikauli wamkome.
 
Baada ya matamko kutoka viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na serikali dhidi ya kauli ya Spika Job Ndugai kuhusu mikopo, leo Jumatatu saa 5:00 asubuhi, Ndugai anazungumza na waandishi wa habari, jijini Dodoma.


Anaenda kuvuruga kabisa this equation; Huyu Jamaa inabidi akae karibu Na Kikwete amfunde!
 
Mtanange mpya, Gwajiboy vs Subwoofer...
 
Kinachonikera mimi ni Magufuli kutumia pesa za umma kumnunulia mashine ya dayalisis mtu mmoja tena ipo nyumbani kwake, hii ndio siri ya Ndugai kuwa house boy wa Meko.
....dah!...viongozi wa hii nchi wanajipendelea mno.

Huenda akatumia huu mkutano kueleza namna alivyonukuliwa vibaya.
 
Huyu mtu kashapoteza sifa za kuwa spika
 
Cha
Yaani unaweza andika hiyo habari hata bila kuhudhuria huo mkutano au kumsikiliza ... inajulikana atakachosema, kwa Mwandishi kuhudhuria ni kupoteza tu muda ... pia atakazia kupiga watu mkwara kuheshimu bunge
Cha kushangaza utarudi hapa kuongea kutokana na alichosema
Kam unajua anachosema na hakuna haja ya wandishi basi teambie weww na kisha usirudi kuchangia maana unajua kila kitu.
 
CCM wanauua upinzani kwa kuanzisha mwingine ndani ya chama!!karibuni umoja party ndio suluhisho pekee hapo 2025!!!
 
Acha watwangane.
Naomba MABEYO asiingilie awaache mpaka mmoja aombe Pooh mwenyewe
Sijamuelewa comment yako Mabeho anatoka wapi kwenye matamshi haya ya kisiasa, nafikiri hujui nafasi ya Mabeho na kazi zake. Mabeho ashuhulike na majeshi yake haya hayamhusu hata kidogo.
 
Sijamuelewa comment yako Mabeho anatoka wapi kwenye matamshi haya ya kisiasa, nafikiri hujui nafasi ya Mabeho na kazi zake. Mabeho ashuhulike na majeshi yake haya hayamhusu hata kidogo.
Kama viongozi waandamizi wa nchi wanavutana, hao jamaa huwaga hawachezi mbali........wanakuwa wanawa zoom kwa mbali tu.
 
Back
Top Bottom