Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

Spika Ndugai kufanya mkutano na waandishi wa habari Januari 3, 2022 saa 5:00 asubuhi, Ukumbi ni upi na ni mkoa gani? Pia asisahau kwenda kuomba kibali cha Polisi.sasa ni sawa na mpinzani ndani ya CCM.​

 
nadhani sasa anakwenda kuwafukuza akina Mzee Halima na wake zake bungeni
 
Nadhani amepata picha jinsi gani watu wanamchukulia,Ili aheshimike ni bora akakaza na msimamo wake,akijidai kuikana kauli yake wakati kashaoga matusi kutoka kila kona haitamsaidia kitu,atakuwa amedhalilika tu
aikane mara ngapi
 
Ila walipotaka kumpindua Samia .
Anatetea alihusikaje?
Unajua madhara ya rais na spika wa bunge kulingana nini kitatokea?
Sijamuelewa comment yako Mabeho anatoka wapi kwenye matamshi haya ya kisiasa, nafikiri hujui nafasi ya Mabeho na kazi zake. Mabeho ashuhulike na majeshi yake haya hayamhusu hata kidogo.
 
Huyu mzee haeleweki hata anachoongea, go straight to the point, huwezi kukopa kujenga madarasa na vyoo na ukapiga pasu pesa nyingi zikaenda kuijenga zanzibar ukilinganisha eneo lake na idadi ya watu.........kwa nini viongozi wa nchi hii ni wanafiki sana!?
 
Back
Top Bottom