Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaonyesha udhaifu mkubwa. Sasa Maza mbele kwa mbele 2025. Hii imempa boost kubwa sana....!!Si kwa hiari yake, alifuatwa na wazito na kushauriwa kutengua kauli yake au kuomba msamaha.
Ametia huruma bora asingekiongea badala ya Kuja kutudaganya kuwa hakusema hivyo bali vile.Mbona amelegeza sauti kama gasho.
Kuna watu waliniambia juzi bungeni kutawaka moto nikawaambia ule mhimili tayari umeshajichimbia mkae kwa kutulia mpaka 2025.Kaonyesha udhaifu mkubwa. Sasa Maza mbele kwa mbele 2025. Hii imempa boost kubwa sana....!!
Tumbo sheikh.😄😄Hahah, jamaa kaona isiwe tabu...karudisha gozi la ng'ombe kwa kipa
Spika amuomba radhi Rais "Nitumie fursa hii kupitia kwenu kumuomba radhi Rais" hayo ni maneno ya Spika akiomba radhi