Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

Kama viongozi waandamizi wa nchi wanavutana, hao jamaa huwaga hawachezi mbali........wanakuwa wanawa zoom kwa mbali tu.
Kazi yake kulinda mipaka ya nchi Maami, sio issue za kisiasa. Hana kazi kwenye hili wala kulitolea tamko. Kila mtu atamshangaa labda maami ungependa aingilie sio uwanja wake pole.
 
Kazi yake kulinda mipaka ya nchi Maami, sio issue za kisiasa. Hana kazi kwenye hili wala kulitolea tamko. Kila mtu atamshangaa labda maami ungependa aingilie sio uwanja wake pole.
Ndo hivyo sasa, basi endelezeni migogoro ndo mtajua hamjui......
 
Sisi tunachochea kuni....
Tupo na Ndugai....

Mama tuachie Nchi
Heri angejiuluzu.
Lakini atasema..... Ohh nipo na Mheshimiwa Rais kauli yangu ilipotoshwa kwa makusudi.
Hata hivyo, tusahemeane kwa misunderstanding yoyote tuendelee kumuunga mkono Mama.... Kazi iendelee
 
Ndugai hamuwezi Gwajima japo wote siwakubali, yule Gwajiboy kapinda sanaa alafu anajita mchungaji
Ganja sana ndio maana huongea vitu visivyokuwepo, eti kanunua treni.

Job ana cheti chake special, tuchukue tahadhari
 
Ndo hivyo sasa, basi endelezeni migogoro ndo mtajua hamjui......
Mkuu wa majeshi anatumwa tu maami pole hata kikatiba hayupo kwenye top leadership kama Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge yeye hayupo ni mtendaji tu maami Pole.
 
Mkuu wa majeshi anatumwa tu maami pole hata kikatiba hayupo kwenye top leadership kama Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge yeye hayupo ni mtendaji tu maami Pole.
Jidanganye, labda hukuona kilichotokea zimbabwe.......ukikua utaelewa mambo haya.
 
akitaka aheshimike asimamie mitazamo wake palepale asitetereke
 
Tuna tofauti katika uelewa sina tena muda wa kuelezea nimemaliza. Amini unayoyajua nami nibaki na yangu.
Ndo hivyo sasa, usibweteke sana.......moja jumulisha moja inaweza kuwa kumi na moja badala ya mbili.
 
Nadhani amepata picha jinsi gani watu wanamchukulia,Ili aheshimike ni bora akakaza na msimamo wake,akijidai kuikana kauli yake wakati kashaoga matusi kutoka kila kona haitamsaidia kitu,atakuwa amedhalilika tu
 
Polish_20220103_113614136.jpg
 
Job Ndugai: Hapakuwa na lolote la kukashifu au kudharau juhudi zozote za Serikali, Serikali ni baba yetu, Serikali ni mama yetu. Tunahitaji Serikali na tunaiunga mkono na katika mazungumzo yetu niliwataka wenzangu pamoja na mamabo mengine kujiimarisha kiuchumi, pamoja na mambo mengine tulipe kodi, ushuru, tulipe tozo.

lipo japo moja serious katika nchi kuna mahala litatulete shida maana tunaishi kinafiki..

TANZANIA KUNA UDINI NA UKABILA MBAYA SANA...
 
Back
Top Bottom