jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
mada na mjadala uendeleeNape aliomba msamaha kwa kutishwa au kwa hiyari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mada na mjadala uendeleeNape aliomba msamaha kwa kutishwa au kwa hiyari?
jamaa mshamba sana..mada na mjadala uendelee
.Ndugai pamoja na uzuzu wake ametishwa kama vile alivyotishwa comrade Nape enzi zile na Pole pole awamu hii ya 6. Wote wamenywea kama putoHili ni swali muhimu sana.
Je ameomba radhi ya dhati aukatishwa?
alikuwa anaumwa na pengine alipotoka.
Je amehofia maisha yake?Je ameamua kujificha ili asidhirike ?Je ametishiwa ?
Anatishwa na nani? Njaa tu. Mnadhani kujiajiri ni kazi rahisi?Hili ni swali muhimu sana.
Je ameomba radhi ya dhati aukatishwa?
alikuwa anaumwa na pengine alipotoka.
Je amehofia maisha yake?Je ameamua kujificha ili asidhirike ?Je ametishiwa ?
Ndugai ni mgonjwa wa akiliHili ni swali muhimu sana.
Je ameomba radhi ya dhati aukatishwa?
alikuwa anaumwa na pengine alipotoka.
Je amehofia maisha yake?Je ameamua kujificha ili asidhirike ?Je ametishiwa ?
Umeandika ukweli mtupu.Anatishwa na nani? Njaa tu. Mnadhani kujiajiri ni kazi rahisi?
God is sovereign....Nchi lazima ilindwe, acheni uchonganishi...Hakuna mkubwa mbele ya Tanzania hata huyo individual mnayempa power...Lazima kuwe na centre of power; ni hilo tu...Tanzania lazima ishinde na individuals lazima washindwe....Mungu ibariki nchi yangu TanzaniaAlichofanya Ndugai ni kumuongezea nguvu Maza.... Wakati huo huo yeye kajimaliza kabisa. Asifikiri watamsamehe kwa hilo pamoja na kujifanya anajibebesha msalaba wake mwenyewe kwa niaba ya wote.
Imagine pamoja na kutukanwa kote kule kashindwa kumuita mtu yeyote kwenye ile kamati yake ya Maadili. Kwa udhaifu aliouonyesha sasa asubiri watakanyompanda mpaka kichwani.
Mbaya zaidi kutubu hadharani kwa design ile, Spika wa Bunge.... Only in Tanzania.
Ni akina nani hao? Utajua hujui!Sukuma gang chali, hamuamini macho na masikio yenu.
Naona katiba hii inafaa sana kwa umoja na mshikamano wetu, kama si hii katiba haya ya leo yasingewezekana.Hahaaaa!!!!!tukiwaambia hii katiba chakavu hamtak
Wewe ulitaka nchi ivurugike? Mbona mna penda ubinafsi hivyo?Na hapa ndo hoja ya katiba mpya inapopata nguvu, inakuwaje spika wa bunge anaongea kinyonge namna hiyo, anazidiwa hata na kiongozi wa TUCTA......
Mwanzo Ndugai alikuwa sawa kuikoromea serikali iache kuchukua mikopo isiyoeleweka kwa kuwa yeye ni kiongozi wa mhimili wa kuisimamia serikali, lakini Cha ajabu mhimili wa kuisimamia serikali ameugeuza kuwa mhimili wa kuinyenyekea serikali eti "Nimekosa Mimi, Nimekosa sana! Hii ni sala ya toba ya Kikatoliki wakiomba toba kwa Mwenyezi Mungu, Ndugai toba hiyo kaipeleka kwa Rais kulinda tumbo lake!Baada ya matamko kutoka viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na serikali dhidi ya kauli ya Spika Job Ndugai kuhusu mikopo, leo Jumatatu saa 5:00 asubuhi, Ndugai anazungumza na waandishi wa habari, jijini Dodoma.
NDUGAI: NIMEUMIA KUOENEKANA NAPINGA MKOPO WA SERIKALI WA TSH. TRILIONI 1.3
Spika Job Ndugai amesema kauli yake aliyoitoa Desemba 26, 2021 alipoalikwa kwenye tukio la makumbusho ya wagogo kuwa imechukuliwa vibaya na kuleta mkanganyiko
Amesema alikuwa anazungumza kuhusu sababu iliyoifanya bunge kukubali na kuipitisha tozo na sio kuwa alikuwa akizungumzia taasisi nyingine yoyote
Ndugai amesema video iliyosambaa ilikatwa bila kuleta ujumbe kamili aliokuwa amekusudia. Ameumia kuonekana anapinga mkopo wa serikali
NDUGAI: TUTENGENEZE MAKUMBUSHO YA BUNGE
Spika wa Bunge Job Ndugai, amesema ni muhimu kwa Bunge kuwa na makumbusho yake ili wanaotembelea ofisi hizo wajue historia ya bunge kwa namna ilivyokuwa
Jambo hilo amesema ni muhimu hata kwa taasisi nyingine kuwa na makumbusho yake ili watu waweze kujua kuhusu historia ya taasisi husika
Amesema hayo alipokuwa anaongea na waandishi wa habari ofisi za Bunge Dodoma
NDUGAI: NAMUOMBA RADHI RAIS NA WANANCHI WOTE
Spika wa Bunge Job Ndugai amemuomba radhi Rais Samia Suluhu na wananchi wote kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yake
Amesema yeye ni CCM ambao lengo lao ni moja hawawezi kutofautiana. Kuna watu wanaojaribu kuwafarakanisha lakini hawatafanikiwa
Ndugai amesema Rais anafanya vizuri lakini peke yake hawezi kwa hiyo ni jukumu la watu wote kumsaidia
View attachment 2066990
View attachment 2067070
Pia soma;
Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni
Acheni uchonganishi...Nchi siyo NGO au SACOSS...Nchi inahitaji umoja, amani na utulivu kuliko hizi drama zenuMama akimsamehe atakuwa amefanya kasa kubwa mno. Ndungai ni nyoka mwenye sumu kali sana anayetafuta timing ya kung'ata