kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Speaker wa bunge,Job Ndugai
" Government intervention inatakiwa ndio iwepo lakini minimal, yaani katika nchi za wenzetu nchi zilizoendelea kampeni moja wapo katika uchaguzi mkuu ni kitu kinaitwa less Government yaani less Government katika maisha ya watu sio ukigeuka serikali, ukigeuka serikali, ukigeuka serikali yaani serikali aaaa...!! Serikali iwepo kidogo kidogo watu wajimwage katika nchi yao wasikie wana nafasi.
Ukilima ufuta serikali, ukifanya hivi serikali, sasa watu unafanyejeee! Ukilima korosho, korosho ndio kabisaaa serikali hebu rudini nyuma kidogo wapeni watu nafasi nyinyi ee...! Nyinyi ni facilitators wasimamizi pale mtu ambapo anadhulumiwa eee.. nk. Lakini sio front saaana!!".