Spika Ndugai: Serikali wapeni watu nafasi ya kufanya mambo yao, msiwe front sana

Anachoongea Ndugai ni kwenye. Kuna kitu kinaitwa citizenship freedom. Serikali ni mwezeshaji tu na siyo tightly controller wa watu. yaani unaitisha uchaguzi wa balozi pale kijijini napo serikali na mabunduki mgongoni, uchaguzi wa kitongoji tu mapolisi yamejaa, hapana.

Lazima kuwe na semi-autonomous ya raia. hata mzazi hutakiwi kuwa mgongoni pa mtoto wako kila mahali. Mpe muda wa ku-exercise maturity and independence. Hata Mwalimu kuna wakati anatakiwa kumpa nafasi mwanafunzi kufikiri na kutenda kwa kujitegemea na siyo tightly supervision.

Ila najiuliza, kumbe Ndugai anayajua haya mambo ila alikuwa anafanya makusudi?
Alikuwa wapi siku zote? Hata asemeje hakuna awezaye kumwelewa! Matendo yake yanapiga kelele zaidi kulikk manenk yake!!
 
Anachoongea Ndugai ni kwenye. Kuna kitu kinaitwa citizenship freedom. Serikali ni mwezeshaji tu na siyo tightly controller wa watu. yaani unaitisha uchaguzi wa balozi pale kijijini napo serikali na mabunduki mgongoni, uchaguzi wa kitongoji tu mapolisi yamejaa, hapana.

Lazima kuwe na semi-autonomous ya raia. hata mzazi hutakiwi kuwa mgongoni pa mtoto wako kila mahali. Mpe muda wa ku-exercise maturity and independence. Hata Mwalimu kuna wakati anatakiwa kumpa nafasi mwanafunzi kufikiri na kutenda kwa kujitegemea na siyo tightly supervision.

Ila najiuliza, kumbe Ndugai anayajua haya mambo ila alikuwa anafanya makusudi?
Alikuwa mateka
 
Wapendwa,
Nduguyai alichotakiwa kufanya ni kutubu kwanza kwa aliyoyafanya kwa maneno na matendo yake yote kwa binadamu wengine, ili Mungu wa haki amsamehe dhambi zake na ampokee ili aweze kuongozwa na kufanyikaa kiumbe kipya.
Lakini mpaka sasa haonekani kujutia chochote na nimejikuta ninazidi kuamini kuwa anaendeleza ushetani wake wa unafiki/usanii.
Kwangu; He is just a 'survivist'
Kazi kubwa ya spika ni kuwalinda na kuwatetea watunga sheria wake kwa nguvu zote dhidi ya mihili mingine bila kujali anatoka chama gani, jumbo gani wala jinsia gani. Kama MTU anakuambia acha kumtibu mbunge wako mgonjwa na wewe ukakubali ujue MTU huyo atakudharau kwa kutokuijua Kazi yako
 
Back
Top Bottom