Spika Ndugai: Serikali wapeni watu nafasi ya kufanya mambo yao, msiwe front sana

Spika Ndugai: Serikali wapeni watu nafasi ya kufanya mambo yao, msiwe front sana

Alikuwa mateka
Ni kweli mkuu hadi unacheka ni huyu huyu Ndugai au mwingine we fikiri tu anaongea hivyo ghafla milango inafunguka na mwenda zake huyo anaingia 🤣 🤣 🤣 atatokea dirishani,naona akili alizokuwa kazishikilia Bwana yule zinaanza kurudi.
 
Sasa hivi ndio nawaelewa sana waliosema Bunge, mahakama na sijui poli nini vile viko mfukoni mwa Sizonje. Wameanza kujitoa mmoja mmoja; kuanzia kwa mpwa kuomba radhi, spika kusema rais alishatiwa vibaya juu ya bandari ya Bagamoyo, Johnthebaptist, n.k wanadhihirisha haya
Aisee. Hata Yohana Mbatizaji kapata wokovu 😅
 
Ila Magufuli aliwafanya viongozi wa chini kuwa kama mtaahira,hebu eti fikiria walitakiwa kuchagua kati ya kuvaa barakoa na kazi
 
IMG-20210415-WA0013.jpg

Ndugai alikabidhi ubongo kwa mwendazake, akabaki na fuvu tupu..
 
======

Speaker wa bunge,Job Ndugai

" Government intervention inatakiwa ndio iwepo lakini minimal, yaani katika nchi za wenzetu nchi zilizoendelea kampeni moja wapo katika uchaguzi mkuu ni kitu kinaitwa less Government yaani less Government katika maisha ya watu sio ukigeuka serikali ukigeuka serikali ukigeuka serikali yaani serikali aaaa...!! serikali iwepo kidogo kidogo watu wajimwage katika nchi yao wasikie wana nafasi.

Ukilima ufuta serikali ukifanya hivi serikali sasa watu unafanyejeee ukilima korosho korosho ndio kabisaaa serikali hebu rudini nyuma kidogo wapeni watu nafasi nyinyi ee nyinyi ni facilitators wasimamizi pale mtu ambapo anadhulumiwa ee nk. lakini sio front saaana".
Huyu "Igandu" mbona kipindi hiki anajifanya kuwatetea sana watu, anajisogeza sana kwa wananchi kuliko kawaida yake! Halafu anajitahidi kuikaba koo serikali kuna nini?? Nadhani huyu mtu ameanza mapemaaa kuandaa mazingira ya 2025 au hata 2030 kwenye kinyang'anyiro cha urais!! Sidhani kama ni hivi hivi tu!!
 
Historia yake itamuandama, atafeli vibaya mno 2025
 
======

Speaker wa bunge,Job Ndugai

" Government intervention inatakiwa ndio iwepo lakini minimal, yaani katika nchi za wenzetu nchi zilizoendelea kampeni moja wapo katika uchaguzi mkuu ni kitu kinaitwa less Government yaani less Government katika maisha ya watu sio ukigeuka serikali ukigeuka serikali ukigeuka serikali yaani serikali aaaa...!! serikali iwepo kidogo kidogo watu wajimwage katika nchi yao wasikie wana nafasi.

Ukilima ufuta serikali ukifanya hivi serikali sasa watu unafanyejeee ukilima korosho korosho ndio kabisaaa serikali hebu rudini nyuma kidogo wapeni watu nafasi nyinyi ee nyinyi ni facilitators wasimamizi pale mtu ambapo anadhulumiwa ee nk. lakini sio front saaana".
Anachoongea Ndugai ni kwenye. Kuna kitu kinaitwa citizenship freedom. Serikali ni mwezeshaji tu na siyo tightly controller wa watu. yaani unaitisha uchaguzi wa balozi pale kijijini napo serikali na mabunduki mgongoni, uchaguzi wa kitongoji tu mapolisi yamejaa, hapana.

Lazima kuwe na semi-autonomous ya raia. hata mzazi hutakiwi kuwa mgongoni pa mtoto wako kila mahali. Mpe muda wa ku-exercise maturity and independence. Hata Mwalimu kuna wakati anatakiwa kumpa nafasi mwanafunzi kufikiri na kutenda kwa kujitegemea na siyo tightly supervision.

Ila najiuliza, kumbe Ndugai anayajua haya mambo ila alikuwa anafanya makusudi?
 
mgonjwa wetu kapona sasa msimpe uji tena mpatieni ugali
 
Back
Top Bottom