Spika Ndugai: Serikali wapeni watu nafasi ya kufanya mambo yao, msiwe front sana

Spika Ndugai: Serikali wapeni watu nafasi ya kufanya mambo yao, msiwe front sana

Hawa ni wahalifu...yy na sukuma gang...
Mama anawadeku tuu... sasa wanajiuma uma wenyewe...

Where was it... kusema haya enzi za Jiwe.. ? Yes I meant IT.... that empty head..
 
siasa mkuu,
siasa ni mchezo mchafu.
Huyuhuyu spika alishawahi kupewa maagizo Na serikali (mhimili mwingine) awafukuze wabunge wake bungeni ili serikali ikawashuhulikie nje ya bunge nae akalitimiza agzigo hilo bila ajizi.

Kauli yake hii ya sasa inalenga kumsumbua Na kumziba punzi Mama.
 
Kwenye hili alichosema ni kweli 100% true sasa kwanini hakusema haya pia wakati wa nyuma hilo ni wazi sote tunajuwa JPM hakuruhusu mtu kuongea mawazo yake kwa uhuru na sio huyu Ndungai viongozi wote ni kama sasa wanaongea akili zao sio zile za kushikiwa. JPM aliwatisha watu tuacheni utani. Lakini wewe ukiona mjomba labda ulidhani anahitaji kwenda mirembe wakati ule ni huzuni lakini ukiona mjomba anapona kabla hajaenda hospital unafurahi kwa hiyo tufurahi wagonjwa wanapona kwa haraka na sio yeye wengi tu. Ukifanya makosa kipindi cha kwanza una sahihisha makosa kipindi cha pili sifa anapewa kocha.
 
Alikwina..!? Huu ni unafiki wa kiwango cha SGR
Tanzania hii nani sio mnafiki kila mtu analinda maslahi yake kwanza ndio maana nchi pekee utakuta mtu ana line 4 za simu kampuni tofauti strong signal vifurushi rafiki ndio hiyo hiyo hatuna kitu loyalty kwetu maslahi tu.
 
Back
Top Bottom