======
Speaker wa bunge,Job Ndugai
" Government intervention inatakiwa ndio iwepo lakini minimal na eee yaani katika nchi za wenzetu nchi zilizoendelea kampeni moja wapo katika uchaguzi mkuu ni kitu kinaitwa less Governmen yaani less Governmen katika maisha ya watu sio ukigeuka serikali ukigeuka serikali ukigeuka serikali yaani serikali aaaa serikali iwepo kidogo kidogo watu waaa wajimwage katika nchi yao wasikie wana nafasi.
Ukilima ufuta serikali ukifanya hivi serikali sasa watu unafanyejeee ukilima korosho korosho ndio kabisaaa serikali hebu rudini nyuma kidogo wapeni watu nafasi nyinyi ee nyinyi ni facilitators wasimamizi pale mtu ambapo anadhulumiwa ee nk. lakini sio front saaana".