Spika Ndugai: Serikali wapeni watu nafasi ya kufanya mambo yao, msiwe front sana

Alikuwa wapi siku zote? Hata asemeje hakuna awezaye kumwelewa! Matendo yake yanapiga kelele zaidi kulikk manenk yake!!
 
Alikuwa mateka
 
Tangu Mwendazake aende ndiyo anaanza kufunguka taratibu!
 
Kazi kubwa ya spika ni kuwalinda na kuwatetea watunga sheria wake kwa nguvu zote dhidi ya mihili mingine bila kujali anatoka chama gani, jumbo gani wala jinsia gani. Kama MTU anakuambia acha kumtibu mbunge wako mgonjwa na wewe ukakubali ujue MTU huyo atakudharau kwa kutokuijua Kazi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…