Spika Ndugai: Tundu Lissu hadai hata mia!

Huyo ni spika sio kiongozi wa chama chochote bungeni bali kiongozi wa bunge. Hivyo shughuli zote za bunge anazisimamia yeye. Kwahiyo atakuwa hana haki ya kukosoa hotuba ya kambi ya upinzani kama upinzani si sehemu ya bunge.
 
Kazitaja moja baada ya nyingine? Ameonesha nyaraka za malipo?
Spka job Ndugai amesema kuwa wamekwisha mlipa Tundu Lissu ,aliyekuwa mbunge stahiki zake zote
Ameyasema hayo Leo akiwa bungen Dodoma

----

Jr[emoji769]
 
Mimi ninayo softcopy yake ! Nikweli inarugha za maudhi juu ya Rais, imezungumzia mhimili wa mahakama kitu ambacho ni makosa.
Na imezungumzia mishahara ya lisu kiuongo.
 
We Mzee muogope Mungu.....juzi juzi tu kidogo uingie kingi ukaokolewa dk ya 90 umesahau eee..!!

Afu we Mzee Mungu yupo jichunge na kauli zako...usisahau huyu jamaa Covid kumi na tisa ni mzee wa kumalizia...!!

Mliyomfanyia Lissu kwa roho ya kiubinadamu hayasameheki kabisa....mmemtesa sana na nimempa kilema cha maisha ila bado mnamchokonoa tu..lahh
 
Mimi ninayo softcopy yake ! Nikweli inarugha za maudhi juu ya Rais, imezungumzia mhimili wa mahakama kitu ambacho ni makosa.
Na imezungumzia mishahara ya lisu kiuongo.
Lugha ya maudhi mbona kama sijaiona? Unaweza kuweka nukuu yake hapa?
 
Mimi ninayo softcopy yake ! Nikweli inarugha za maudhi juu ya Rais, imezungumzia mhimili wa mahakama kitu ambacho ni makosa.
Na imezungumzia mishahara ya lisu kiuongo.
Kuandika kwenyewe hujui eti 'rugha'.

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Haki ya mama Tanzania tuna viongozi vigagula hatari, yaani pamoja na mabaya wanayofanya tena mchana kweupeee tunashindwaje kuwaperemba?? Tukiamua kuwapiga chini hatushindwi, lakini kunakuwa na kauzito Fulani hivi watu kufanya maamuzi ya pamoja.. Tulipofikia hapavumiliki tena wapigwe chini hawa nzi wa kijani, wanaona kama hii nchi wanaimiliki.. Takataka wahedi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…