Spika Ndugai: Tundu Lissu hadai hata mia!

Hivi hii Korona inasubiri nini kutuondolea takataka zingine humu duniani
Na kule "bongo muvi" pia kuna minyoo mingi sana inaungurumisha tumbo kwa makelele ya kugonga tuu meza, watanzania tumechoshwa na makelele ya kugonga tuu mezaaaa, this is nonsense watz sio mataahira wa kuwagongea tuu meza kwa miaka 5 huku wakikulipa mamilioni kwa jasho lao/kodi.
 
Leo wakati spika Ndugai akihitimisha bunge amedai kuwa hawadaiwi na Tundu lisu
Huku mtaani Tundu anadai bado hajalipwa
Spika Ndugai akaenda mbali zaidi kudai kuwa Tundu Lissu anamadeni mengi hivyo anajifichia nyuma ya binge kukwepa madeni
Akaongeza pia kuwa kunawabunge wengi wenye madeni hivyo walipe mapema maana ni sifa mojawapo ya uongozi

Pia amemtaka Lissu kurejea nchini ili ashiriki uchaguzi na achane na bunge adili na Corona kwani huko Belgium ndio balaa
 
Amani iwe nanyi.

Kwa wa kristo wote duniani kipindi cha kwaresma ni kipindi cha toba ambacho watu hukitumia kujirudi kwa muumba wao kwa kuomba na kusamehewa zambi zao.

Si sawa kwenye kipindi cha kwaresma kusema uongo waziwazi na kujilizaliza ili uonekane kwamba unaonewa na kuteseka sana kuliko binadamu wote hapa duniani!

Ndugu yetu huyu Tundu Lisu amekuwa mtu wa kusema uongo na kuzushia wengine mabaya ili waonekane ni wachafu mbele ya jamii, mfano kwa miaka nane alizunguka kote nchini na duniani akimtaja Lowasa kuwa ni fisadi namba moja duniani! Lakini baada ya Lowasa kuinunua chadema na kuwa mgombea urais , ni Lisu huyohuyo tena alizunguka nchi nzima akiwaambia watu kuwa Lowasa siyo fisadi na anafaa kuwa rais wa Tanzania!

Tabia mbaya hii Tundu Lisu aneendelea nayo hata baada ya kupigwa risasi zaidi ya 38, kwanza aliwaahidi wa Tanzania kwamba akipona tu atarudi nyumbani mpaka leo hajafanya hivyo maana yake alisema uongo. Pili ndani ya mwezi huu wa toba Tundu Lisu amelifurumshia uongo na uzushi bunge kwamba hajalipwa madai yake huku akijua si kweli!

Jana Spika Ndugai ameonyesha hadharani nyaraka zote zinazoonyesha Tundu Lisu amelipwa zaidi ya milioni 500 na bunge! ,tena amelipwa hela zingine za kutembelea wapiga kura wakati hajawahi kufanya hivyo! Hapo bado hujaweka mamilioni mengine aliyochangiwa na wana chadema.

Tunakuambia tu Lisu huku kudeka na kulialia siyo kwa hali ya kawaida huenda una tatizo la malezi mahali na tunakuonya pia ipo siku wanyonge watataka kurudishiwa hela zao ulizolipwa bila kuzifanyia kazi.

IMG_20200407_075332.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mithali : Mlango 13
3 Yeye alindaye kinywa chake huilinda nafsi yake;Bali afunuaye midomo yake atapata uharibifu. Sijui tu. Mungu tusaide.
 
Amani iwe nanyi.

Kwa wa kristo wote duniani kipindi cha kwaresma ni kipindi cha toba ambacho watu hukitumia kujirudi kwa muumba wao kwa kuomba na kusamehewa zambi zao.

Si sawa kwenye kipindi cha kwaresma kusema uongo waziwazi na kujilizaliza ili uonekane kwamba unaonewa na kuteseka sana kuliko binadamu wote hapa duniani!

Ndugu yetu huyu Tundu Lisu amekuwa mtu wa kusema uongo na kuzushia wengine mabaya ili waonekane ni wachafu mbele ya jamii, mfano kwa miaka nane alizunguka kote nchini na duniani akimtaja Lowasa kuwa ni fisadi namba moja duniani! Lakini baada ya Lowasa kuinunua chadema na kuwa mgombea urais , ni Lisu huyohuyo tena alizunguka nchi nzima akiwaambia watu kuwa Lowasa siyo fisadi na anafaa kuwa rais wa Tanzania!

Tabia mbaya hii Tundu Lisu aneendelea nayo hata baada ya kupigwa risasi zaidi ya 38, kwanza aliwaahidi wa Tanzania kwamba akipona tu atarudi nyumbani mpaka leo hajafanya hivyo maana yake alisema uongo. Pili ndani ya mwezi huu wa toba Tundu Lisu amelifurumshia uongo na uzushi bunge kwamba hajalipwa madai yake huku akijua si kweli!

Jana Spika Ndugai ameonyesha hadharani nyaraka zote zinazoonyesha Tundu Lisu amelipwa zaidi ya milioni 500 na bunge! ,tena amelipwa hela zingine za kutembelea wapiga kura wakati hajawahi kufanya hivyo! Hapo bado hujaweka mamilioni mengine aliyochangiwa na wana chadema.

Tunakuambia tu Lisu huku kudeka na kulialia siyo kwa hali ya kawaida huenda una tatizo la malezi mahali na tunakuonya pia ipo siku wanyonge watataka kurudishiwa hela zao ulizolipwa bila kuzifanyia kazi.

View attachment 1411298

Sent using Jamii Forums mobile app
Kmmmmhk walai
 
Back
Top Bottom