Spika Ndugai: Tundu Lissu hadai hata mia!

Kama imejaa upotoshaji ni bora haikusomwa.

Tumeisoma yote humu jukwaani, haina upotoshaji wowote, ila ni ukweli unaoumiza wasaka sifa. Sio lazima isomwe huko bungeni, maana sisi wananchi tuko nje ya bunge, na hilo bunge halionyeshwi.
 
Wewe naye,iachwe mjionee kwani ilikuwa inasomwa kwa ajili yenu?

Inasomwa kwa ajili ya nani? Wabunge ni wawakilishi wa wananchi, hivyo tuna haki ya kusikia wanachosema wawakilishi wetu.
 
Huyo ni spika sio kiongozi wa chama chochote bungeni bali kiongozi wa bunge. Hivyo shughuli zote za bunge anazisimamia yeye. Kwahiyo atakuwa hana haki ya kukosoa hotuba ya kambi ya upinzani kama upinzani si sehemu ya bunge.

Yeye ni mwanaccm, na hapo bungeni kaenda kama mwanaccm, kisha akaupata huo uclassmonitor. Yuko hapo kusimamia maslahi ya jiwe na ccm fullstop.
 
Wana siasa wetu wanatuonea sana,tumezidi upole..kuna watu walitakiwa tuwatembezee bakora mbele ya kamera
 
Yeye ni mwanaccm, na hapo bungeni kaenda kama mwanaccm, kisha akaupata huo uclassmonitor. Yuko hapo kusimamia maslahi ya jiwe na ccm fullstop.
Kichwa kisicho na maarifa ni mzigo kwa mwenye nacho. Bungeni kaenda akiwa mwakilishi wa wananchi wa Kongwa kama alivyo Mbowe mwakilishi wa wananchi wa Hai. Sifa ya kuwa spika wa bunge pamoja na mambo mengine ni kuwa mtanzania; ndiyo maana uwe na chama, usiwe na chama, uwe mbunge usiwe mbunge unaweza kugombea kiti cha spika na kuliongoza bunge.
 
Spika inaonekana yy pekee ndio mjuvi wa fasihi andishi
 
Tumeisoma yote humu jukwaani, haina upotoshaji wowote, ila ni ukweli unaoumiza wasaka sifa. Sio lazima isomwe huko bungeni, maana sisi wananchi tuko nje ya bunge, na hilo bunge halionyeshwi.
Hujui hata kanuni moja ya bunge. Swala sio kuisoma bali kufuata utaratibu. Hata ungesoma humu jf haitafaa lolote maana sio isomwe jf bali bungeni na iwe adopted na bunge. Kusomwa jf ni sawa na chakula cha harusi kuliwa barabarani na wapitanjia.
 
Lissu anatakiwa kuheshimu pesa za walipa Kodi mahakamani hataki kuhudhuria kwa kuhofia usalama wake lakini bado anataka kulipwa bila ya kufanya kazi hii haijakaa sawa
 
Hii si dalili njema kwenye uchaguzi mwaka huu.
Ubabe unaweza kutawala kampeni na wakati wakupiga kura na kutowa matokeo.
Lakini Taifa langu naona kama linaelekea kubaya zaidi.
Matendo kama haya yanawajenga watu chuki na hasira,na wanaweza kutafuta njia ya kujilipiza au kujiongeza ili wasiendelee kuonewa.
Hapo ndio utasikia ,TZ kimenuka,halafu dunia itaanza kusema wapinzani wameanza kuvunja amani,kumbe amani ilishavunjwa siku nyingi kwa watu waliowanyonge kunyimwa haki zao kwa sababu wao sio sehemu ya watawala.
Nahofia sana.
NGOJA TUTAFUTE USHAURI KWA NCHI WAHISANI
 
mambo ya ajabu mno
 
Mawazo yako yanafanana na uwezo wa cm yako tekno 8
Sent using Jamii Forums mobile app
 
2020 ccm itazidi kuzzama ,tazama takwimu hozo za 2015.

Bunge elections from 1980-2015
ElectionVotes% UraisiSeats+/–Position
19805,417,099100%264 / 264
41 1st
19854,768,997100%274 / 274
10 1st
19905,198,12097.78%264 / 264
10 1st
19953,814,20659.22%214 / 285
50 1st
20004,628,12765.19%243 / 285
29 1st
20057,579,89770%264 / 324
21 1st
20104,641,83060.20%259 / 350
5 1st
20158,021,42755.04%252 / 367
2 1st
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…