Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
kwamba wote ni viti maalumu kama wa kwetu hapa
Hata Joe Biden aliapishwa kuwa senator akiwa hospitali akiuguza familia yake iliyopata ajali.Mfano huu wa Spika Ndugai wa Mbunge wa Uingereza kuapishwa akiwa "mahututi" hospitalini na kwamba alikufa hapo hospitalini bila kukanyaga Bungeni unafikirisha.
Mstaafu Msekwa alisema Spika ni kama daktari anayepokea wagonjwa wengine wanapona na kuondoka na wengine wanakufa na kuondoka.
Kumbe kuapishwa ni jambo moja na kuingia Bungeni ni jambo lingine.
Hii inanikumbusha kuna watu huingia katika sakramenti ya ndoa takatifu wawapo kufani.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Maendeleo hayana vyama.
Hajawaiga kwa sababu hajaenda kuapisha hospital, huo ni mfano tu.Kwahiyo anawaiga Mabeberu
Nimekuelewa bwashee!Hata Joe Biden aliapishwa kuwa senator akiwa hospitali akiuguza familia yake iliyopata ajali.View attachment 1639795
CCM ni kansa ya nchiHawa CCM waje waseme ni vitu gani tuwaige mabeberu na vipi tusiwaige!
Akitoa mfano kama huo mpinzani, unasikia hao mabeberu, mfano ametoa Ndugai wanakuwa akina nani?
Hata akaapishie kwenye choo chake haituhusuMfano huu wa Spika Ndugai wa Mbunge wa Uingereza kuapishwa akiwa "mahututi" hospitalini na kwamba alikufa hapo hospitalini bila kukanyaga Bungeni unafikirisha.
Mstaafu Msekwa alisema Spika ni kama daktari anayepokea wagonjwa wengine wanapona na kuondoka na wengine wanakufa na kuondoka.
Kumbe kuapishwa ni jambo moja na kuingia Bungeni ni jambo lingine.
Hii inanikumbusha kuna watu huingia katika sakramenti ya ndoa takatifu wawapo kufani.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Maendeleo hayana vyama.
Mzee wagogo ni watu masikini akipata sehemu ya kula bila tabu akili zinaishandu.guy anachojua ni kujipendekeza tu kwa jiwe, huwa anaamini wabunge woote wakiwa bungeni ni sawa na familia yake ikiwa nyumbani kongwa.
Ndugai ni Mrombo kule Kongwa walihamia tu!Mzee wagogo ni watu masikini akipata sehemu ya kula bila tabu akili zinaisha
Ufipa ni kipindupindu!CCM ni kansa ya nchi
Labda choo chao kinaitwa mromboNdugai ni Mrombo kule Kongwa walihamia tu!
Kwani Katiba, sheria na Kanuni ya US zinaelekezaje kuhusiana na kiapo cha mbunge au senator? No copy cat please?Mwaka 1972 Senator Joe Biden (Rais mteule wa USA) aliapishwa akiwa hospitalini akiwauguza watoto wake wawili walionusurika kwenye ajali mbaya ya gari iliyochukua maisha ya mke wake na binti yake mdogo! Suala la wapi mtu anaapishwa linategemea na mazingira kulingana na kanuni zilizopo.
Alafu ww ndo umeacha siasa za kuhemkwa?Sasa katazo liko wapi?
Bunge ni pamoja na eneo lake lote!
Ni mchagga kutoka Rombo!Labda choo chao kinaitwa mrombo
Kuna siku Mwenyekiti wako utasema ni mchagaNi mchagga kutoka Rombo!
Tueleze wewe bunge ni nini?Alafu ww ndo umeacha siasa za kuhemkwa?
Sasa mbona wachagga wa Ufipa mmeingizwa mjini na mpare Halima!!Kuna siku Mwenyekiti wako utasema ni mchaga, hakuna mchaga mjinga duniani
It is unfortunate that Tanzania has irrelevant scholars! Commonwealth? why don't you simply adopt Kenya's constitution and laws to guide our country simply because we all a commonwealth trajectory?Think again. Ukijielimisha juu ya legacy ya mfumo wa Bunge letu, utatambua kuwa huku sio kuiga. Practices za mabunge ya nchi zote wanachama wa Jumuiya ya Madola zinashahibiana sana!
Bunge likianza huanza na sala ya kumwomba Mwenyezi Mungu awaongoze wabunge kufanya uamuzi ambao ni 'well-informed' na Bunge ndilo linalotunga jadili miswada ya sheria na kuipitisha na kuridhia mikataba mbalimbali ya kimataifa tuliyoingia. Bunge lina wajibu pia wa kujadili bajeti, kuishauri serikali na kuisimamia. Ningetaka kuona Bunge letu lionekane hivyo.Mfano huu wa Spika Ndugai wa Mbunge wa Uingereza kuapishwa akiwa "mahututi" hospitalini na kwamba alikufa hapo hospitalini bila kukanyaga Bungeni unafikirisha.
Mstaafu Msekwa alisema Spika ni kama daktari anayepokea wagonjwa wengine wanapona na kuondoka na wengine wanakufa na kuondoka.
Kumbe kuapishwa ni jambo moja na kuingia Bungeni ni jambo lingine.
Hii inanikumbusha kuna watu huingia katika sakramenti ya ndoa takatifu wawapo kufani.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Maendeleo hayana vyama.
kwani wabunge wote wa ccm si wameteuliwa na vyombo vya dola kwani palikuwepo uchaguzi?Kwani hii maada inahusu viti maalumu?
Ilikuwa ni kisukari au😵Mfano huu wa Spika Ndugai wa Mbunge wa Uingereza kuapishwa akiwa "mahututi" hospitalini na kwamba alikufa hapo hospitalini bila kukanyaga Bungeni unafikirisha.