Spika Ndugai: Uingereza kuna Mbunge aliapishiwa hospitali akiwa amelazwa na "bahati" mbaya alifariki bila kwenda Bungeni

Spika Ndugai: Uingereza kuna Mbunge aliapishiwa hospitali akiwa amelazwa na "bahati" mbaya alifariki bila kwenda Bungeni

Mfano huu wa Spika Ndugai wa Mbunge wa Uingereza kuapishwa akiwa "mahututi" hospitalini na kwamba alikufa hapo hospitalini bila kukanyaga Bungeni unafikirisha.

Mstaafu Msekwa alisema Spika ni kama daktari anayepokea wagonjwa wengine wanapona na kuondoka na wengine wanakufa na kuondoka.

Kumbe kuapishwa ni jambo moja na kuingia Bungeni ni jambo lingine.

Hii inanikumbusha kuna watu huingia katika sakramenti ya ndoa takatifu wawapo kufani.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!

Maendeleo hayana vyama.
Hata Joe Biden aliapishwa kuwa senator akiwa hospitali akiuguza familia yake iliyopata ajali.
Screenshot_20201202-102526.png
 
Mfano huu wa Spika Ndugai wa Mbunge wa Uingereza kuapishwa akiwa "mahututi" hospitalini na kwamba alikufa hapo hospitalini bila kukanyaga Bungeni unafikirisha.

Mstaafu Msekwa alisema Spika ni kama daktari anayepokea wagonjwa wengine wanapona na kuondoka na wengine wanakufa na kuondoka.

Kumbe kuapishwa ni jambo moja na kuingia Bungeni ni jambo lingine.

Hii inanikumbusha kuna watu huingia katika sakramenti ya ndoa takatifu wawapo kufani.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!

Maendeleo hayana vyama.
Hata akaapishie kwenye choo chake haituhusu
 
Mwaka 1972 Senator Joe Biden (Rais mteule wa USA) aliapishwa akiwa hospitalini akiwauguza watoto wake wawili walionusurika kwenye ajali mbaya ya gari iliyochukua maisha ya mke wake na binti yake mdogo! Suala la wapi mtu anaapishwa linategemea na mazingira kulingana na kanuni zilizopo.
Kwani Katiba, sheria na Kanuni ya US zinaelekezaje kuhusiana na kiapo cha mbunge au senator? No copy cat please?
 
Think again. Ukijielimisha juu ya legacy ya mfumo wa Bunge letu, utatambua kuwa huku sio kuiga. Practices za mabunge ya nchi zote wanachama wa Jumuiya ya Madola zinashahibiana sana!
It is unfortunate that Tanzania has irrelevant scholars! Commonwealth? why don't you simply adopt Kenya's constitution and laws to guide our country simply because we all a commonwealth trajectory?

Please note Tanzania's constitutional guide to the effect:
Ibara ya 68; Katiba ya JMT inaelekeza na kutamka kama ifuatavyo kuhusu KIAPO cha WABUNGE:-

English

Every Member of Parliament shall be required to take and subscribe before the National Assembly the oath of allegiance before commencing to take part in the business of the National Assembly save that he may take part in the election of Speaker before taking that oath.

Kiswahili
Kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu kabla hajaanza kushiriki katika shughuli za Bunge; lakini Mbunge aweza kushiriki katika uchaguzi wa Spika hata kabla hajaapishwa.

Maneno "before the National Assembly" na "kuapishwa katika Bunge" hayamaanishi pahala popote ambapo Spika ataona panafaa!

Ndugai is simply an anarchist
 
Mfano huu wa Spika Ndugai wa Mbunge wa Uingereza kuapishwa akiwa "mahututi" hospitalini na kwamba alikufa hapo hospitalini bila kukanyaga Bungeni unafikirisha.

Mstaafu Msekwa alisema Spika ni kama daktari anayepokea wagonjwa wengine wanapona na kuondoka na wengine wanakufa na kuondoka.

Kumbe kuapishwa ni jambo moja na kuingia Bungeni ni jambo lingine.

Hii inanikumbusha kuna watu huingia katika sakramenti ya ndoa takatifu wawapo kufani.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!

Maendeleo hayana vyama.
Bunge likianza huanza na sala ya kumwomba Mwenyezi Mungu awaongoze wabunge kufanya uamuzi ambao ni 'well-informed' na Bunge ndilo linalotunga jadili miswada ya sheria na kuipitisha na kuridhia mikataba mbalimbali ya kimataifa tuliyoingia. Bunge lina wajibu pia wa kujadili bajeti, kuishauri serikali na kuisimamia. Ningetaka kuona Bunge letu lionekane hivyo.
 
Back
Top Bottom