Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spika wa bunge Tanzania analalamika namna tatizo la wizi limekidhiri Tanzania mpaka yule asiyeiba anaonwa mjinga, ukiwekeza supermaket wanakufilisi ndani ya miaka mitatu, ni tatizo sugu na limekosa utatuzi.
Ameongea kwa huruma sana kama aliyekata tamaa kwa namna wote wamekua majizi.
Ndio spika mjinga kuliko maspika wote duniani plus spika mwenye marukangaSpika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Tanzania kuna tatizo la vijana kutokuwa waaminifu.
Katika maelezo yake kiongozi huyo wa Bunge amesema, “tunalo tatizo katika nchi yetu la ujumla wake la uaminifu, sasa sijui hili tutalifanyaje wawekezaji wengi wamekuwa wakilalamikia uaminifu hasa wa vijana Watanzania, ikishawekwa mradi basi vijana uaminifu unakua mdogo.”
“Atajikuta mtu amefilisika tu asipoangalia yaani eneo hili sijui dawa yake ni nini lakini basi waheshimiwa wabunge watakapokua wanachangia ni moja ya eneo la kulitazama kiwango cha uaminifu ni kikubwa kwa kiasi gani.”
Amewataka viongozi wa dini wa madhehebu mbalimbali kuhubiri kuhusu uaminifu, akitaka jambo hilo kufanyika shuleni na hata wazazi majumbani.
“...,na kijana akiwa na fursa kama hiyo akaachiwa asimamie biashara asikuibie wenzake mtaani watasema mjinga sana yule alipewa goli lipo wazi akaliacha mjinga kweli jamaa mwaka mzima yupo bungeni kule wala hasimami yeye kakaa tu unaona sasa yaani hilo, lakini uaminifu unalipa sana katika maisha.”
“Ukiaminiwa katika kidogo anayekuamini anaweza kukuamini katika kikubwa zaidi na akakuamini katika kikubwa zaidi na zaidi na wewe ukawa ni sehemu ya mafanikio makubwa zaidi,” amesisitiza.
KabisaUsikae barazani kwa wenye mizaha!
Kwani mkikaa kimya bila ku comment mtachekwa?Atueleze bilioni 30 alizutumiaje kwenye matibabu?
Like sons like father's,hata wao ni wezi,wizi wao umeanzia mbali tangu wakiwa vijana,hata hawa wazee waleo,walikuwa vijana jana,walikuwa vibaka tangu kipindi hicho.sasa wamekomaaWakati Waziri Mkuu akiahirisha Bunge baada ya hotuba ya Waziri Mkuu, Spika Ndugai ameongelea suala la uaminifu wa watanzania hasa kwa vijana na kudai wawekezaji wengi wamekuwa wakilalamika. Ndugai amesema mtu anaeanzisha mradi atajikuta tu amefilisika asipokuwa makini.
'' Mtu akianzisha labda tuseme 'super market' nisikilizie kama bado utamkuta barabarani miaka mitatu ijayo. Ataibiwa pale si kawaida, hata wewe wekeza halafu njoo bungeni hapa umewaachia miezi sita hujawatembelea, subiri siku utakayoenda upige mahesabu, utakuta umepigwa'' Alisema spika Ndugai.
Aliendelea '' Mswahili humuachii shughuli mkakubaliana usipigwe kwa sababu ya uaminifu, sijui namna gani tutafanyia kazi?''
''Kijana akiwa na fursa kama hiyo akaachiwa asimamie biashara asikuibie, wenzake mtaani wanasema mjinga sana yule, alipewa goli liko wazi kaliacha, mjinga kweli! Jamaa mwaka mzima yuko bungeni kule, yeye kakaa tu lakini uaminifu unalipa sana katika maisha'' Alimalizia Spika Ndugai.
TETESI..Mie nadhani ccm ndo wametufikisha hapa..mnakaa huko kusign mamikataba ya ajabu mnapiga hela wananchi hatupati huduma stahiki unadhan wasipopata gape wasipige? Msituchoshe..mtuache kula yetu tu shida...tena mtukome
Kwani mkikaa kimya bila ku comment mtachekwa?
Kila kitu mko kinyume, mna matatizo gani?
Kuna vingine mnakaa kimya kama Mmeshindwa kukisapoti.
Kama yeye ni spika wa hovyo hovyo anatazamia vijana watakuwaje? Ukitaka kumulika njia, anzia miguuni?Wakati Waziri Mkuu akiahirisha Bunge baada ya hotuba ya Waziri Mkuu, Spika Ndugai ameongelea suala la uaminifu wa watanzania hasa kwa vijana na kudai wawekezaji wengi wamekuwa wakilalamika. Ndugai amesema mtu anaeanzisha mradi atajikuta tu amefilisika asipokuwa makini.
'' Mtu akianzisha labda tuseme 'super market' nisikilizie kama bado utamkuta barabarani miaka mitatu ijayo. Ataibiwa pale si kawaida, hata wewe wekeza halafu njoo bungeni hapa umewaachia miezi sita hujawatembelea, subiri siku utakayoenda upige mahesabu, utakuta umepigwa'' Alisema spika Ndugai.
Aliendelea '' Mswahili humuachii shughuli mkakubaliana usipigwe kwa sababu ya uaminifu, sijui namna gani tutafanyia kazi?''
''Kijana akiwa na fursa kama hiyo akaachiwa asimamie biashara asikuibie, wenzake mtaani wanasema mjinga sana yule, alipewa goli liko wazi kaliacha, mjinga kweli! Jamaa mwaka mzima yuko bungeni kule, yeye kakaa tu lakini uaminifu unalipa sana katika maisha'' Alimalizia Spika Ndugai.
Yy.binafsi anajijua sio muaminifu.Atueleze bilioni 30 alizutumiaje kwenye matibabu?
Wakati Waziri Mkuu akiahirisha Bunge baada ya hotuba ya Waziri Mkuu, Spika Ndugai ameongelea suala la uaminifu wa watanzania hasa kwa vijana na kudai wawekezaji wengi wamekuwa wakilalamika. Ndugai amesema mtu anaeanzisha mradi atajikuta tu amefilisika asipokuwa makini.
'' Mtu akianzisha labda tuseme 'super market' nisikilizie kama bado utamkuta barabarani miaka mitatu ijayo. Ataibiwa pale si kawaida, hata wewe wekeza halafu njoo bungeni hapa umewaachia miezi sita hujawatembelea, subiri siku utakayoenda upige mahesabu, utakuta umepigwa'' Alisema spika Ndugai.
Aliendelea '' Mswahili humuachii shughuli mkakubaliana usipigwe kwa sababu ya uaminifu, sijui namna gani tutafanyia kazi?''
''Kijana akiwa na fursa kama hiyo akaachiwa asimamie biashara asikuibie, wenzake mtaani wanasema mjinga sana yule, alipewa goli liko wazi kaliacha, mjinga kweli! Jamaa mwaka mzima yuko bungeni kule, yeye kakaa tu lakini uaminifu unalipa sana katika maisha'' Alimalizia Spika Ndugai.
Itakuwa kuna vijana wake wame mliza visenti kadhaa sasa akaona aje a generalize