Spika Ndugai: Vyuo vikuu vianze kufundisha Ujasiriamali kama vile vya Kenya vijana wasisubiri ajira ambazo hazipo!

Ole wake magufuli angekubali kuingia mkenge 2019 kufuta michezo ya bahati nasibu Tz😁😁😁 tungekuwa vibaka wengi mnooo.

Aisee wazee wa betting naomba mnipokeee kwa unyenyekevu na mkeka wa bure kama mtajiπŸ€‘πŸ€‘
 
Kuna rafiki zangu kama wawili hivi wamefunga biashara zao wanasema hakuna mauzo, watu hawana pesa mtaani.
Biashara kimsingi ni tight, yani kama hujapata niche kwenye mavyakula haya ujue lazma ufunge goli!

Unless uwe kwenye Producer ama Wholesaler katika Supply Chain! Walau hutaathirika sana na mabadiliko ya soko.
 
Ushauri:
Yeye na chama chake waweke sheria ya ukomo wa umri wa wabunge. Iwe miaka 60 tu. Ukifika miaka 60 tu unaachia nafasi. Na yeye awe wa kwanza maana tayari ana 61!Wawaachie vijana nafasi badala ya kulalamika.
 
Sure vijana tuna struggle Sana kitaa tena sikuhizi ma graduate wengi ni machinga mtaani sema wamefanya Siri wasidhihakiwe tu
Dah, tunafanyaje sasa ilimradi tupate chochote kitu sasa. Kazi hamna aisee.
 
Ole wake magufuli angekubali kuingia mkenge 2019 kufuta michezo ya bahati nasibu Tz😁😁😁 tungekuwa vibaka wengi mnooo.

Aisee wazee wa betting naomba mnipokeee kwa unyenyekevu na mkeka wa bure kama mtajiπŸ€‘πŸ€‘
Angeifuta sahizi kuna watu familia zingewashinda maana watu wanasuka vitu wanapiga hela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah, tunafanyaje sasa ilimradi tupate chochote kitu sasa. Kazi hamna aisee.
Kwa kweli kazi yoyote Ili mradi mtu u survive basi, hivi mtu anawezaje kumwambia dr ajiajiri huku capital ikiwa ndogo, Basi wangekuja na exceptional kwa kijana kutotozwa mikodi na tra Ili akue kwanza na capital yake ndogo. Kuliko haya mapambio with no solution
 
Biashara kimsingi ni tight, yani kama hujapata niche kwenye mavyakula haya ujue lazma ufunge goli!

Unless uwe kwenye Producer ama Wholesaler katika Supply Chain! Walau hutaathirika sana na mabadiliko ya soko.
Hali ni ngumu sana kwa wanaotegemea kujiajiri na ujasiriamali. Hao wengine wana uhakika wa kipato mwisho wa mwezi, tena pesa nyingi za kodi ya wananchi, ndio maana wanatoa kauli kama hizi.

Suala la kokosa ajira halina chama kwa maana vijana wa itikadi zote wanaathirika.
 
Somo la ujasiriamali mbona lipo, lakini mbona yeye alikuwa ana Force ubunge Hadi alitaka kumuua mwenzake na rungu kichwani. Yeye ka mfano ajiuzulu ubunge na u speaker aanze ujasiriamali Ili kufundisha vijana kwa mfano
Hahahah maisha, haitaka itokee! Unafikiri ujasiriamali rahisi aache vieite akaanze kukung'utwa na TRA na mahangaiko yake 😁😁😁
 
NI MTU HUHUYU JUZI KADAI WATUMIA SIMU WAOPIGWE KODI KUBWA BILA KUSAHAU MITANDAO IMEAJIRI MAELFU YA WATU, NI WATU HAWAHAWA WANACHANGIA BEI ZA BANDO KUPANDA HUKU WAKITOA MATAMKO YA KINAFIKI WAKATI IMEMAJIRI MAELFU YA WATU
NI WATU HAWAHAWA WANATOA MACHOZI YA MAMBA HUKU MIMATE IKIWARUKA WAKIJIFANYA KUSIKITIKA BEI YA CEMENT,SUKARI,UNGA WA NGANO MAFUTA YA KUPIKIA VIKIPANDA WAKATI HUO MAMA NTILIE,MAFUNDI UJENZI WAKIATHIRIKA
LEO KAZI ZA UJENZI HAKUNA KAMA ZAMANI,KWA MAMA NTILIE WATU WANAAGIZA SAHANI YA 2,000 WANASHEA WATATU ...KIKUWELI HIZI NI DHARAU NA DHIHAKA ZA HALI YA JUU SANA INATIA HASIRA MNOOOO....BORA BABUTALE ALIKIMBILIA HUKO KAGUNDUA UNAVUTA LAKI TATU UKIWA UMEKAA KWENYE KIYOYOZI NA KUPIGA MEZA KWA NGUVU,KUTOKA UFUNDI BASIKELI MANZESE HADI UBUNGE HUYO KAJIAJIRI SASA OTHERWISE TUACHENI NA MAISHA YETU
 
Somo la ujasiriamali mbona lipo, lakini mbona yeye alikuwa ana Force ubunge Hadi alitaka kumuua mwenzake na rungu kichwani. Yeye ka mfano ajiuzulu ubunge na u speaker aanze ujasiriamali Ili kufundisha vijana kwa mfano
Kwanza yeye tayari ana mtaji, ajiuzulu akajiajiri awaache vijana wasio na mitaji watafute mitaji kwenye ajira. Anahubiri maji wakati anakunywa soda.
 
Hawana hizo sera za kumbeba mtu wao wanataka wakukamue ukianza biashara tu. Mambo magumu
 
Napewa ushuhuda mwingi et kuna watu wamejenga, wana mandinga, maisha safi coz of betting πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ngoja nijaribu na huku kabla mambo hayajakataaa
Angeifuta sahizi kuna watu familia zingewashinda maana watu wanasuka vitu wanapiga hela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna kipindi niliwaza tu ianzishwe system mtu akihudumu kwa miaka 10 aachie wengine! Wenye position zenye mishahara 6M+ wao waachie ndani ya miaka mitano tu. Kama wataungana wakafungue biashara wajiendeleze sasa maybe tungepata unafuu!
Kwanza yeye tayari ana mtaji, ajiuzulu akajiajiri awaache vijana wasio na mitaji watafute mitaji kwenye ajira. Anahubiri maji wakati anakunywa soda.
 
Wakati wa kampeni mbona alikuwa hasemi hivyo?
 
Hakuna mtoto wake hata mmoja aliejiajiri zaidi ya kuongea kwa dharau
 
Kuna kipindi niliwaza tu ianzishwe system mtu akihudumu kwa miaka 10 aachie wengine! Wenye position zenye mishahara 6M+ wao waachie ndani ya miaka mitano tu. Kama wataungana wakafungue biashara wajiendeleze sasa maybe tungepata unafuu!
Yeye yupo bungeni tangu 1990, mpuuzi kabisa sijui hazioni hizo fursa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…