Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure vijana tuna struggle Sana kitaa tena sikuhizi ma graduate wengi ni machinga mtaani sema wamefanya Siri wasidhihakiwe tuKuna rafiki zangu kama wawili hivi wamefunga biashara zao wanasema hakuna mauzo, watu hawana pesa mtaani.
Biashara kimsingi ni tight, yani kama hujapata niche kwenye mavyakula haya ujue lazma ufunge goli!Kuna rafiki zangu kama wawili hivi wamefunga biashara zao wanasema hakuna mauzo, watu hawana pesa mtaani.
Ushauri:Spika Ndugai amesema ni wakati sasa vijana wetu wakaachana na mawazo ya kuajiriwa na badala yake wajikite kwenye shughuli za ujasiamali na kilimo.
Ndugai amesema vijana waliomaliza darasa la saba ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sababu wao hawachagui kazi tofauti na wale wanaojiita wasomi ambao wanazeeka wakiwa bado wanatafuta ajira ambazo hazipo.
Amevitaka vyuo vikuu viwaige wenzao wa Kenya.
Dah, tunafanyaje sasa ilimradi tupate chochote kitu sasa. Kazi hamna aisee.Sure vijana tuna struggle Sana kitaa tena sikuhizi ma graduate wengi ni machinga mtaani sema wamefanya Siri wasidhihakiwe tu
Angeifuta sahizi kuna watu familia zingewashinda maana watu wanasuka vitu wanapiga hela 😂😂😂Ole wake magufuli angekubali kuingia mkenge 2019 kufuta michezo ya bahati nasibu Tz😁😁😁 tungekuwa vibaka wengi mnooo.
Aisee wazee wa betting naomba mnipokeee kwa unyenyekevu na mkeka wa bure kama mtaji🤑🤑
Kwa kweli kazi yoyote Ili mradi mtu u survive basi, hivi mtu anawezaje kumwambia dr ajiajiri huku capital ikiwa ndogo, Basi wangekuja na exceptional kwa kijana kutotozwa mikodi na tra Ili akue kwanza na capital yake ndogo. Kuliko haya mapambio with no solutionDah, tunafanyaje sasa ilimradi tupate chochote kitu sasa. Kazi hamna aisee.
Hali ni ngumu sana kwa wanaotegemea kujiajiri na ujasiriamali. Hao wengine wana uhakika wa kipato mwisho wa mwezi, tena pesa nyingi za kodi ya wananchi, ndio maana wanatoa kauli kama hizi.Biashara kimsingi ni tight, yani kama hujapata niche kwenye mavyakula haya ujue lazma ufunge goli!
Unless uwe kwenye Producer ama Wholesaler katika Supply Chain! Walau hutaathirika sana na mabadiliko ya soko.
Hahahah maisha, haitaka itokee! Unafikiri ujasiriamali rahisi aache vieite akaanze kukung'utwa na TRA na mahangaiko yake 😁😁😁Somo la ujasiriamali mbona lipo, lakini mbona yeye alikuwa ana Force ubunge Hadi alitaka kumuua mwenzake na rungu kichwani. Yeye ka mfano ajiuzulu ubunge na u speaker aanze ujasiriamali Ili kufundisha vijana kwa mfano
Kwanza yeye tayari ana mtaji, ajiuzulu akajiajiri awaache vijana wasio na mitaji watafute mitaji kwenye ajira. Anahubiri maji wakati anakunywa soda.Somo la ujasiriamali mbona lipo, lakini mbona yeye alikuwa ana Force ubunge Hadi alitaka kumuua mwenzake na rungu kichwani. Yeye ka mfano ajiuzulu ubunge na u speaker aanze ujasiriamali Ili kufundisha vijana kwa mfano
Hakika maisha ni kupambanaSure vijana tuna struggle Sana kitaa tena sikuhizi ma graduate wengi ni machinga mtaani sema wamefanya Siri wasidhihakiwe tu
Hawana hizo sera za kumbeba mtu wao wanataka wakukamue ukianza biashara tu. Mambo magumuKwa kweli kazi yoyote Ili mradi mtu u survive basi, hivi mtu anawezaje kumwambia dr ajiajiri huku capital ikiwa ndogo, Basi wangekuja na exceptional kwa kijana kutotozwa mikodi na tra Ili akue kwanza na capital yake ndogo. Kuliko haya mapambio with no solution
Angeifuta sahizi kuna watu familia zingewashinda maana watu wanasuka vitu wanapiga hela 😂😂😂
Kwanza yeye tayari ana mtaji, ajiuzulu akajiajiri awaache vijana wasio na mitaji watafute mitaji kwenye ajira. Anahubiri maji wakati anakunywa soda.
Hahahahaaaa wee acha tu mkuu. Life is not fair but God is good.Hahahah swali fikirishi, pia kwanini watoto wao wanawasomesha Feza schools 😁😁😁 kwanini wasiwapeleke kwenye elimu bure
Wakati wa kampeni mbona alikuwa hasemi hivyo?Spika Ndugai amesema ni wakati sasa vijana wetu wakaachana na mawazo ya kuajiriwa na badala yake wajikite kwenye shughuli za ujasiamali na kilimo.
Ndugai amesema vijana waliomaliza darasa la saba ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sababu wao hawachagui kazi tofauti na wale wanaojiita wasomi ambao wanazeeka wakiwa bado wanatafuta ajira ambazo hazipo.
Amevitaka vyuo vikuu viwaige wenzao wa Kenya.
Akili ni nywele mkuu, yule mzee hana nyweleYeye mbona hajaenda kufanya ujasiriamali?
Kijana huyo anayezungumziwa akifanikiwa kidogo TRA washatia timu na kumfilisi...
Hakuna mtoto wake hata mmoja aliejiajiri zaidi ya kuongea kwa dharauDuh hawa viongozi wetu wamezidi ubinafsi mbona kwa wenzetu wamejitahidi kuweka mazingira yanayoweza kumsaidia mtu wa chini kabisa, sasa huyo ndugai ukute watoto wake wamemaliza nje vile ni speaker kaandika kimemo wamepata kazi then ana joke watu wanaojishughulisha kitaa wasio na connection
Yeye yupo bungeni tangu 1990, mpuuzi kabisa sijui hazioni hizo fursa?Kuna kipindi niliwaza tu ianzishwe system mtu akihudumu kwa miaka 10 aachie wengine! Wenye position zenye mishahara 6M+ wao waachie ndani ya miaka mitano tu. Kama wataungana wakafungue biashara wajiendeleze sasa maybe tungepata unafuu!