Spika Ndugai: Vyuo vikuu vianze kufundisha Ujasiriamali kama vile vya Kenya vijana wasisubiri ajira ambazo hazipo!

Ishu ni kwamba wao hawaathiriki moja kwa moja! Watoto wao wana uhakika wa connections kwa kuandikiwa vimemo tu vya kupachikwa kwenye Taasisi/Mamlaka zenye maslahi makubwa.

Mtu anapokea mshahara wa Serikali toka miaka ya 1990 huko maana yake hajawahi ku experience ugumu wa maisha hasa ya kujitaftia mtaani. Leo hii ndio anajifanya kiranja cha kunyooshea vidole na kusimanga vijana...Inashangaza sana!!!
 
serekali yangu inawatu wa hovyo sana ila kuna mda najua tutatoka katika haya magumu sisi vijana....

serekali yangu imeshindwa hata kuchukua vijana wasomi makundi kwa makundi mbali mbali mfano ktk ngazi ya ujenzi wasomi wote wanaohusika na maswala hayo na kuwapa mkopo wafungue kampuni za ujenzi kisha serekali hiyo hiyo iwasaidie kuwaombea tenda nafuu ktk nchi maskini hapa hapa kwetu africa...

kupitia hii inshu mimi std7 opareta wa excavetor na greda ntapata kazi nje ya nchi..

najua sisi ni vijana tunatukanwa na kubezwa ktk jamii kwa sababu tunaonekana kama tuna mikosi na nuksi hatuna ajira ila TUTAFANYA HATA MADILI HARAMU TUPATE PESA NA LAZIMA TUTANUE NA MATOTO YENU MLIYOYASOMESHA KWA GHARAMA...
 
Mungu yupo na sisi wanyonge
 
Basi Muhas ibadilishiwe kozi zote ipewe veta.

Haya majamaa yanaropoka ropoka sana japo kuna ukweli ila sio kihivyo
 
kama wanajua ajira hamna ni kwanini wanalazimisha watoto waendelee kusoma? na kwanini waendelea kutoa mikopo ya elim ya juu na kuwataka watu wairudishe kwanguvu?
kama ni swala la ujasiriamali ni kwanini serikali isingesema waishie form 4, ili kuepusha upotevu wa muda na fedha kwaajili ya mkopo wa elim ya juu ilikusudi hizo fedha za mkopo wafundishiwe ujasiriamali?
Ama kweli tuna viongozi mbumbumbu haijawahi tokea duh!!!!!
 
Kwanza yeye tayari ana mtaji, ajiuzulu akajiajiri awaache vijana wasio na mitaji watafute mitaji kwenye ajira. Anahubiri maji wakati anakunywa soda.
Kweli tena kawa mbunge mda mrefu sawa na umri wa kijana mkubwa
 
Hata mimi naunga mkono hoja shule zote za sekondari na vyuo vifutwe. Elimu iishie darasa la saba.
 
Mkuu ni mi 5 tena.Lisu aliwaambia muingie road mkaogopa washawasha
 
Hii ngoma ni nzito mkuu na ni global issue..sio Tanzania pekee
Ukitaka kuamini nenda
Haiti
Algeria
Senegal
Burkina Faso
Syria
Albania bila kusahau
Afghanistan
Kila mahali tabu tupu! tusione kwamba hii ngoma ni kwa bongo pekee!
KIKWETE(ajira zilikuwepo),MAGUFULI(ajira hakuna,vijana mjiajiri).
Sema tu WALIBUGI waliomweka huyu kwa DHARURA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…