Spika Ndugai: Vyuo vikuu vianze kufundisha Ujasiriamali kama vile vya Kenya vijana wasisubiri ajira ambazo hazipo!

Spika Ndugai: Vyuo vikuu vianze kufundisha Ujasiriamali kama vile vya Kenya vijana wasisubiri ajira ambazo hazipo!

Hali ni ngumu sana kwa wanaotegemea kujiajiri na ujasiriamali. Hao wengine wana uhakika wa kipato mwisho wa mwezi, tena pesa nyingi za kodi ya wananchi, ndio maana wanatoa kauli kama hizi.

Suala la kokosa ajira halina chama kwa maana vijana wa itikadi zote wanaathirika.
Ishu ni kwamba wao hawaathiriki moja kwa moja! Watoto wao wana uhakika wa connections kwa kuandikiwa vimemo tu vya kupachikwa kwenye Taasisi/Mamlaka zenye maslahi makubwa.

Mtu anapokea mshahara wa Serikali toka miaka ya 1990 huko maana yake hajawahi ku experience ugumu wa maisha hasa ya kujitaftia mtaani. Leo hii ndio anajifanya kiranja cha kunyooshea vidole na kusimanga vijana...Inashangaza sana!!!
 
serekali yangu inawatu wa hovyo sana ila kuna mda najua tutatoka katika haya magumu sisi vijana....

serekali yangu imeshindwa hata kuchukua vijana wasomi makundi kwa makundi mbali mbali mfano ktk ngazi ya ujenzi wasomi wote wanaohusika na maswala hayo na kuwapa mkopo wafungue kampuni za ujenzi kisha serekali hiyo hiyo iwasaidie kuwaombea tenda nafuu ktk nchi maskini hapa hapa kwetu africa...

kupitia hii inshu mimi std7 opareta wa excavetor na greda ntapata kazi nje ya nchi..

najua sisi ni vijana tunatukanwa na kubezwa ktk jamii kwa sababu tunaonekana kama tuna mikosi na nuksi hatuna ajira ila TUTAFANYA HATA MADILI HARAMU TUPATE PESA NA LAZIMA TUTANUE NA MATOTO YENU MLIYOYASOMESHA KWA GHARAMA...
 
Ishu ni kwamba wao hawaathiriki moja kwa moja! Watoto wao wana uhakika wa connections kwa kuandikiwa vimemo tu vya kupachikwa kwenye Taasisi/Mamlaka zenye maslahi makubwa.

Mtu anapokea mshahara wa Serikali toka miaka ya 1990 huko maana yake hajawahi ku experience ugumu wa maisha hasa ya kujitaftia mtaani. Leo hii ndio anajifanya kiranja cha kunyooshea vidole na kusimanga vijana...Inashangaza sana!!!
Mungu yupo na sisi wanyonge
 
Spika Ndugai amesema ni wakati sasa vijana wetu wakaachana na mawazo ya kuajiriwa na badala yake wajikite kwenye shughuli za ujasiamali na kilimo.

Ndugai amesema vijana waliomaliza darasa la saba ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sababu wao hawachagui kazi tofauti na wale wanaojiita wasomi ambao wanazeeka wakiwa bado wanatafuta ajira ambazo hazipo.

Amevitaka vyuo vikuu viwaige wenzao wa Kenya.

Source TBC 2

Maendeleo hayana vyama!
Basi Muhas ibadilishiwe kozi zote ipewe veta.

Haya majamaa yanaropoka ropoka sana japo kuna ukweli ila sio kihivyo
 
kama wanajua ajira hamna ni kwanini wanalazimisha watoto waendelee kusoma? na kwanini waendelea kutoa mikopo ya elim ya juu na kuwataka watu wairudishe kwanguvu?
kama ni swala la ujasiriamali ni kwanini serikali isingesema waishie form 4, ili kuepusha upotevu wa muda na fedha kwaajili ya mkopo wa elim ya juu ilikusudi hizo fedha za mkopo wafundishiwe ujasiriamali?
Ama kweli tuna viongozi mbumbumbu haijawahi tokea duh!!!!!
 
Kwanza yeye tayari ana mtaji, ajiuzulu akajiajiri awaache vijana wasio na mitaji watafute mitaji kwenye ajira. Anahubiri maji wakati anakunywa soda.
Kweli tena kawa mbunge mda mrefu sawa na umri wa kijana mkubwa
 
Naunga mkono hoja kwa 100% mbali na ajira baadhi ya maofisi kuna mizigo sana! Yaani mtu anaajiriwa hawezi kujishughulisha kabisa,kuandika hawezi! Kupanga file taabu yaani ni kulalama tuu na kupiga story + kunyoosha miguu...

Na baadhi ninahisi unakuta ni wale watoto wa mama from primary up to university hawajui hata kuku wanakunywa vipi maji.
Hata mimi naunga mkono hoja shule zote za sekondari na vyuo vifutwe. Elimu iishie darasa la saba.
 
NI MTU HUHUYU JUZI KADAI WATUMIA SIMU WAOPIGWE KODI KUBWA BILA KUSAHAU MITANDAO IMEAJIRI MAELFU YA WATU, NI WATU HAWAHAWA WANACHANGIA BEI ZA BANDO KUPANDA HUKU WAKITOA MATAMKO YA KINAFIKI WAKATI IMEMAJIRI MAELFU YA WATU
NI WATU HAWAHAWA WANATOA MACHOZI YA MAMBA HUKU MIMATE IKIWARUKA WAKIJIFANYA KUSIKITIKA BEI YA CEMENT,SUKARI,UNGA WA NGANO MAFUTA YA KUPIKIA VIKIPANDA WAKATI HUO MAMA NTILIE,MAFUNDI UJENZI WAKIATHIRIKA
LEO KAZI ZA UJENZI HAKUNA KAMA ZAMANI,KWA MAMA NTILIE WATU WANAAGIZA SAHANI YA 2,000 WANASHEA WATATU ...KIKUWELI HIZI NI DHARAU NA DHIHAKA ZA HALI YA JUU SANA INATIA HASIRA MNOOOO....BORA BABUTALE ALIKIMBILIA HUKO KAGUNDUA UNAVUTA LAKI TATU UKIWA UMEKAA KWENYE KIYOYOZI NA KUPIGA MEZA KWA NGUVU,KUTOKA UFUNDI BASIKELI MANZESE HADI UBUNGE HUYO KAJIAJIRI SASA OTHERWISE TUACHENI NA MAISHA YETU
Mkuu ni mi 5 tena.Lisu aliwaambia muingie road mkaogopa washawasha
 
Hii ngoma ni nzito mkuu na ni global issue..sio Tanzania pekee
Ukitaka kuamini nenda
Haiti
Algeria
Senegal
Burkina Faso
Syria
Albania bila kusahau
Afghanistan
Kila mahali tabu tupu! tusione kwamba hii ngoma ni kwa bongo pekee!
KIKWETE(ajira zilikuwepo),MAGUFULI(ajira hakuna,vijana mjiajiri).
Sema tu WALIBUGI waliomweka huyu kwa DHARURA.
 
Back
Top Bottom