Lazima aseme hivyo spkHahahahaaaa wee acha tu mkuu. Life is not fair but God is good.
Case ya Tanzania ni tofauti. Kwa kawaida familia zetu zinapaswa kula milo mitatu kwa siku.Hii ngoma ni nzito mkuu na ni global issue..sio Tanzania pekee
Ukitaka kuamini nenda
Haiti
Algeria
Senegal
Burkina Faso
Syria
Albania bila kusahau
Afghanistan
Kila mahali tabu tupu! tusione kwamba hii ngoma ni kwa bongo pekee!
Hilo linamuhusu kila mtu ila hao sishauri kuwajumuisha sababu ita temper na maslahi yao hivyo hawataafikiHivi hilo wazo lako linawahusu watu wa huko mjengoni pia
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Maneno haya ungeyasema wakati wa kampeni. Lakini mlisema mtatoa ajiraSpika Ndugai amesema ni wakati sasa vijana wetu wakaachana na mawazo ya kuajiriwa na badala yake wajikite kwenye shughuli za ujasiamali na kilimo.
Ndugai amesema vijana waliomaliza darasa la saba ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sababu wao hawachagui kazi tofauti na wale wanaojiita wasomi ambao wanazeeka wakiwa bado wanatafuta ajira ambazo hazipo.
Amevitaka vyuo vikuu viwaige wenzao wa Kenya.
Source TBC 2
Maendeleo hayana vyama!
Inasikitisha sana mkuuLazima aseme hivyo spk
Kumbuka matibabu kwake bure
Malazi analipiwa
Mafuta ya gari analipiwa
Ada za familia yake analipiwa
Kwa kifupi hajui bei ya mchele,mafuta,nyanya
Madukani na sokoni
Anavyoishi yeye anaona kila mtu anaishi hivyo
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Nina imani wataufanyia kazi ushauri huuPambaneni mpk tone la mwisho [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema serikali ingelegeza masharti na kodi
Kwenye biashara
Wageni waje pesa iwepo
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Nitakuja mkuu kwa maana hii Taxi Bubu ninayoendesha sasa hivi hailipi kabisa kwa maana watu wanatumia sana BajajNjoo huku porini tupambane sema vita vya sahv dah si mchezo ....vikodi kodi + visheria kibaoo
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Yeye kasomea utunzaji wa wanyapori, anaweza kujiajiri kupitia fani aliyosomea au anaropoka tu kwakuwa kashiba na kuvimbiwa?Spika Ndugai amesema ni wakati sasa vijana wetu wakaachana na mawazo ya kuajiriwa na badala yake wajikite kwenye shughuli za ujasiamali na kilimo.
Ndugai amesema vijana waliomaliza darasa la saba ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sababu wao hawachagui kazi tofauti na wale wanaojiita wasomi ambao wanazeeka wakiwa bado wanatafuta ajira ambazo hazipo.
Amevitaka vyuo vikuu viwaige wenzao wa Kenya.
Source TBC 2
Maendeleo hayana vyama!
Wale wengi wao wana vipaji vya biashara kama ambavyo America ya Kusini kuna vipaji vya soccerHivi wakinga,wapemba,wachaga wa rombo etc,
Wamefundishwa ujasiriamali?????
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mimi naandika kitabu cha ujasiriamali unaweza ukawa na elimu ya ujasiriamali kama sera hazitabiriki huwezi fanikwa 'you can not succeed in business with uncertainty and ineffective state policies' 80% of business success depends on personal qualities .the other 20% depends on political,physical and environmental factorsSpika Ndugai amesema ni wakati sasa vijana wetu wakaachana na mawazo ya kuajiriwa na badala yake wajikite kwenye shughuli za ujasiamali na kilimo.
Ndugai amesema vijana waliomaliza darasa la saba ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sababu wao hawachagui kazi tofauti na wale wanaojiita wasomi ambao wanazeeka wakiwa bado wanatafuta ajira ambazo hazipo.
Amevitaka vyuo vikuu viwaige wenzao wa Kenya.
Source TBC 2
Maendeleo hayana vyama!
Spika Ndugai amesema ni wakati sasa vijana wetu wakaachana na mawazo ya kuajiriwa na badala yake wajikite kwenye shughuli za ujasiamali na kilimo.
Ndugai amesema vijana waliomaliza darasa la saba ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sababu wao hawachagui kazi tofauti na wale wanaojiita wasomi ambao wanazeeka wakiwa bado wanatafuta ajira ambazo hazipo.
Amevitaka vyuo vikuu viwaige wenzao wa Kenya.
Source TBC 2
Maendeleo hayana vyama!
well said.Watu watapiga A na hawatajiajiri. Wanaofundisha huo ujasiriamali wenyewe wakifukuzwa kazi presha tupu.
Viongozi wetu wamepatwa na nini.......mbona naona kama awako sawa hivi!!Spika Ndugai amesema ni wakati sasa vijana wetu wakaachana na mawazo ya kuajiriwa na badala yake wajikite kwenye shughuli za ujasiamali na kilimo.
Ndugai amesema vijana waliomaliza darasa la saba ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sababu wao hawachagui kazi tofauti na wale wanaojiita wasomi ambao wanazeeka wakiwa bado wanatafuta ajira ambazo hazipo.
Amevitaka vyuo vikuu viwaige wenzao wa Kenya.
Source TBC 2
Maendeleo hayana vyama!
Tanzania kwasasa hata kama una elimu nzuri ya ujasiriamali huwezi toboa ,wanasiasa wanatengeneza sera ili wafanye siasaHapa, Serikali iwafundishe hawa jamaa mambo ya kuzungumza kulingana na taaluma na nafasi zao.
Juzi hivi, huyu 'job' anasema walimu waongezewe 'Job' masomo ya kufundisha leo anasema vijana wafundishwe ujasiliamali ; ina maana yeye hajawasikiliza Mhe. Mbuge Msukuma Joseph; na Mhe. Mbuge. Nape Nnauye, walichosema kuhusu Biashara na Kodi ?
Acchie usipika na ubunge akatoe mfano kwa kusoma huko Kenya ujasiliamali kisha aje ajiajiri tuone.
Kweli ukishiba; lazima unye juu ya mazao ya chakula,
Benny HarabaTanzania kwasasa hata kama una elimu nzuri ya ujasiriamali huwezi toboa
Mimi nilibahatika kupata elimuya ujasiriamali, asilimia 80% ya mafanikio kwenye biashara tulifundishwa kwamba ni wewe mwenyewe yaani unavyoenenda kwenye biashara 'personal entrepreneur competence' lakini kwa uhalisia hiyo asilima 20% iliyo baki ni kikwazo cha biashara ambayo inajumuisha utashi wa kisiasa,Afya na mengineyo yanayo mzunguka mfanya biashara 'factors affecting entrepreneurship are political,physical and environmental factors'Benny Haraba
Mkuu, huyu 'job' akawasikilize vizuri Mhe. ,Msukuma na Nnape, au awaombe wamfafanulie kwa lugha ya wagogo labda ataelewa tatizo lilipo.