Spika Ndugai: Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wapo kwenye mikono salama

Mmmm. Nimeishia kuguna tu, nitaitafuta katiba yao niupate ukweli.
 
Ila kwa huyu mtu ndio maana bunge letu linasemwa kwa mambo mengi tena ya aibu!
Ni 'dhaifu' kutokana na uongozi!
Lina- 'demka' kutokana na uongozi.
 

Jifunze kuheshimu viongozi wakubwa
Unaweza kufikisha ujumbe wako kwa lugha mzuri tu

Ndugai anakuzidi kila kitu mpaka dhambi

Mpe heshima yake
 
Mkuu kosa lake ni nini?
 
Sazingine mkiwa mnajifanya wajuaji sana inakule kwenu.

Anyway siasa ni mchezo mchafu naamini hata lisu pia anacheza rafu, kama alifikia hatua ya kutaka nchi isipewe msaada wowote na iwekewe vikwazo mi sishangai hii michezo vumilienitu.
 
Nimeshitushwa na huruma kwa wanawake aliyoipata mwaka huu, najiuliza alipofukuza wabunge 8 halali wa cuf mwaka 2017 hii huruma na busara anayotumia kwa hawa covid19 alishindwaje kuitumia kwa wale 8 wa cuf? Ama kweli huyu andunje atakuwa ana file mirembe.
 
Si Magufuli kafa na matatizo yote yameisha?

Sasa mnaogopa nini kwenda mahakamani?
 
Huyu spika kapoteza uzalendo kwa taifa, huwezi kuvunja katiba kizembe kiasi hicho. .
 
Hawaiheshimu katiba iliyopo,Je hata ikipatikana hiyo mnayodai wataiheshimu? Katiba yeyote itakayoasisiwa chini ya CCM haitakuwa na maslahi ya wanannchi bali watawala!!!
 
Kwa tabia yako ni kama vile watokea kwao akina Bashiru
 
Huyu spika kapoteza uzalendo kwa taifa, huwezi kuvunja katiba kizembe kiasi hicho. .
Ndugu yangu nisamehe, huyu Ndugai hajawahi kuwa mzalendo kwa nchi na taifa hili, wakati wowote.
Muda wote ni kulinda maslahi yake/yao binafsi.
Ni lazima ahakikishe anaelea muda wote, wakati wote.
 
CUF inakuhusu nini sisi adui wetu ni chadema
Ndio maana nikasema tangia Uhuru Tanzania haijawahi kupata spika wa hovyo kama dikiteta ndugai, anaongoza bunge si kwa mujibu wa sheria Bali kwa jinsi anavyotaka yeye.
 
Naunga mkono wazo la nguvu ya umma kuonyesha hisia zao kwa kuzomea.
DODOMA NA DAR, MKIONA GARI LA SPIKA PIGA KELELE "DHAIFU,DHAIFU, DHAIFU" maana huko sio kuvunja sheria bali ni kuonyesha hisia hasi kwa tabia zake mbovu.
Azomewe hadi mkewe yule DED wa Bahi akasirike na kumnyima unyumba maana anamwaibisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…