Spika Ndugai: Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wapo kwenye mikono salama

Si Magufuli kafa na matatizo yote yameisha?

Sasa mnaogopa nini kwenda mahakamani?

Magufuli kafa na tumefurahi kwelikweli, lakini kwamba mahakama hazikuwa huru hilo sio la leo, ila kipindi chake ndio alizigeuza kuwa sehemu za kukomolea wote wasioendana na matakwa yake wazi wazi.
 
Hilo jina lako na mabandiko yako haviendani. Inanikumbusha mbilikimo kuitwa tall, mweusi ti akiitwa zungu! Wewe ni lofa kabisa kiakili. Mwongo baradhuli aso haya. Unajiaibisha na kujidhalilisha mwenyewe. Nifanyalo sasa hivi ni kukurekebisha. Ndio lugha stahili kwa kibwengo kama wewe.

Nape alikuwa anamsema m/kiti wake wala si rais. Mungu anasemwa seuze rais. Umekuwa lofa kupitiliza. Tayari kujitoa ufahamu bila aibu. Hakika ulikunya aibu chooni. Ufahamu uliuchuza kwa upumbavu wako. Unatia kichefuchefu na hasira!
 
Kwani hao 19 walikosea nini? Mbona Mbowe hajaitisha conference na kwani Chadema wanapokea ruzuku? Kama ndio kwanini?
 
CDM kuhangaika na Jobo Ngudai mnajisumbua bure. Pelekeni kesi Mahakamani. Haya mambo ya hovyo yanatakiwa yasijirudie...
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hongera ndugai kwa msimamo wako upo sahihi kabisa na nimekusikiza kwa uzur kabisa
 
Pia nimesikia anampongeza Mtu aliyeulizia upatikanaji wa maji kwenye Jimbo la Lisu.

Anasema bora umeulizia maji maana mwenye hilo jimbo kakimbilia Belgium. Anasahau kuwa hapo Bungeni wapo wenyewe tu CCM?.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ivi kiuhalisia hawakupaswa kuwa humo? Isijekuwa mnashindana na mkono wa Mumbaji kurithia wao kuwemo humo kwani njia zake sio njia zetu na mawazo yake siyo mawazo yetu, na hakuna jambo gumu kumshinda. Ukiua kwa upanga unakufa kwa huo upanga ukitenda mema utapendwa na Mumbaji au VP?
 
Kumuita Ndugai spika dhaifu ni kuficha tu ukweli,

Yule ni Spika wa hovyo hovyo toka Dunia hii imeumbwa, sijui Kama Kuna mwingine atakuja kumzidi uhovyo hovyo wake.
 
Kwani nyie hammuoni Ndugai ni mgonjwa? Angalia alivyojaa kama pulizo
Hata akili haziwezi kuwa sawa
 
Punguza ukali wa maneno.
 
Kama hakuvuliwa wakati wa Jiwe ndio imetoka hiyo,hatavuliwa tena kwanza Chama kimerudi upande wao.
 
Duh...!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…