Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kipindi cha siku 17 (kuanzia tarehe 1 mpaka 17) kipindi icho wanapokea Tshs Million 110. Ambayo ni sawa na million 6.47 kwa sikuSpika Job Ndugai amesema wabunge wa CHADEMA ambao hawashiriki vikao vya bunge kwa madai kuwa wapo karantini wanahesabika kama watoro na wanatakiwa kurejesha fedha zote walizolipwa kwa kipindi ambacho hawatakuwepo bungeni.
Pia wamepaswa kufanya kipimo cha Covid19 kabla hawajaingia bungeni
==
TAARIFA ZAIDI
Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo Mei 6, 2020 amewataka wabunge wa CHADEMA waliosusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona kurudi haraka bungeni
Spika Ndugai amesema endapo watakaidi agizo hilo la kurudi Bungeni basi itawalazimu siku watakayo rudi wawe na cheti kinachoonesha kuwa wamepima ugonjwa wa Corona na majibu yake na kurudisha pesa walizolipwa ambazo ni posho za vikao la sivyo hatua zaidi zitachukuliwa.
"Wabunge hawa ambao ni watoro walipokuwa wanaondoka walilipwa fedha za kuanzia Mei 1-17 Jumla ya zaidi Tsh. Milioni 110, nawaagiza kuanzia Freeman Mbowe kurudisha Tsh. Milioni 2 na elfu 40 na wenzake wote hao, huu ni utoro wa hiari kwa lugha rahisi huu ni wizi na wale wengine wamelipwa Milioni 3 warudishe" amesema Spika Ndugai.
Aidha Spika Ndugai ameongeza kuwa; "Nimeshangazwa na kusikitishwa sana na tangazo hilo kwa sababu Mbowe hana mamlaka ya kuitisha utoro wa wiki mbili kwa Wabunge, anajaribu kuwa kama Prefect wa Shule ya Sekondari, japo wameambiana kubaki Dodoma lakini wanazurura nchi nzima, wabunge hao popote walipo warudi bungeni haraka sana kuendelea na kazi zao".
ndiyo maana Spika akamkandia sana CAG Prof Assad maana kuna madudu yanaendelea Bungeni Spika hataki yajulikane, kama hili la kulipa watu posho kabla hawajafanya kazi, this is total misuse of Public fundsKwa Tangazo LA ndugai Leo nimegundua bunge Ni kichaka cha wizi.je hela waliyopewa kina mahige, ndasa Na rwakatare itarudi? Unalipaje wabunge posho ya kikao kabla ya vikao? Hili bunge lilipaswa kukaguliwa Ni wizi mtupuu
Na yule kiongozi anafunga shule na vyuo huku ma baa na club zinakesha Mungu ana MwonaInabidi warudishe hela ya bunge. Kumbe wamelipwa in advance halafu dj anawaambia waingie mitini bila kuwajibika. Kama hawarudishi cash lazima hela ya umma wakatwe kwe viinua mgongo. Na ile mijike yao inajidai mikakamavu kupigania hewa kutafuta kick za ubunge i hope hairudi hata mmoja..mungu ibariki tanzania.
Kula hela za wapiga kula bila kufanya kazi wenu mnaona jambo la kawaida? Mwambie huyo mbunge wa Act wazalendo nae ajiuzulu.Naona green color mmesimamia kucha hii issue, hoja zenye akili hamuonekani kabisaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
safi kabisa maana wenyewe wakishapiga hela hawana habari kua hizo hela ni zawananchi masikini wenyewe wanakula bata tuSpika Job Ndugai amesema wabunge wa CHADEMA ambao hawashiriki vikao vya bunge kwa madai kuwa wapo karantini wanahesabika kama watoro na wanatakiwa kurejesha fedha zote walizolipwa kwa kipindi ambacho hawatakuwepo bungeni.
Pia wamepaswa kufanya kipimo cha Covid19 kabla hawajaingia bungeni
==
TAARIFA ZAIDI
Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo Mei 6, 2020 amewataka wabunge wa CHADEMA waliosusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona kurudi haraka bungeni
Spika Ndugai amesema endapo watakaidi agizo hilo la kurudi Bungeni basi itawalazimu siku watakayo rudi wawe na cheti kinachoonesha kuwa wamepima ugonjwa wa Corona na majibu yake na kurudisha pesa walizolipwa ambazo ni posho za vikao la sivyo hatua zaidi zitachukuliwa.
"Wabunge hawa ambao ni watoro walipokuwa wanaondoka walilipwa fedha za kuanzia Mei 1-17 Jumla ya zaidi Tsh. Milioni 110, nawaagiza kuanzia Freeman Mbowe kurudisha Tsh. Milioni 2 na elfu 40 na wenzake wote hao, huu ni utoro wa hiari kwa lugha rahisi huu ni wizi na wale wengine wamelipwa Milioni 3 warudishe" amesema Spika Ndugai.
Aidha Spika Ndugai ameongeza kuwa; "Nimeshangazwa na kusikitishwa sana na tangazo hilo kwa sababu Mbowe hana mamlaka ya kuitisha utoro wa wiki mbili kwa Wabunge, anajaribu kuwa kama Prefect wa Shule ya Sekondari, japo wameambiana kubaki Dodoma lakini wanazurura nchi nzima, wabunge hao popote walipo warudi bungeni haraka sana kuendelea na kazi zao".
Yule mbunge jangili ni kama ana kakikosi ka jeshi kabisa na zile silaha zake!
Kuwalipa watu wazima si kosa. Kosa ni kupokea malipo na kutoroka kwenda dar kula Bata ndo maana bashite kasema atawakamata Kama machangudoa.Mliwalipaje inadvance?
Ndugai anapaswa kujiuzulu kwa uzembe!
Hakuna kitu kama hicho kwenye malipo ya namna hiyo.Ya kujipatia hela kwa njia ya Udanganyifu
Hii nchi bhana....Kumbe huwa wanalipwa pre paid..wabunge bhana wabinafsi sana
Wew kilaza humu jitu moja lina id fake zaidi ya kumi,Wewe bogazi kweli sasa kama humu cdm ipo mtaani inakosekana vipi? Tuliopo humu jf ndio tupo mtaani.
AiseeeKwa kipindi cha siku 17 (kuanzia tarehe 1 mpaka 17) kipindi icho wanapokea Tshs Million 110. Ambayo ni sawa na million 6.47 kwa siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Zitakatwa kwenye mirathiYapaswa ifuatiliwe usikute marehemu mama rwakatale, mzee mahiga waneondoka na posho za vikao vya ubunge dah inasikitisha sana