Spika Ndugai: Wabunge watoro warejeshe fedha zote walizolipwa kuanzia Mei 1-17 jumla ya Tsh. Milioni 110

dahh ila mapumbavu yana hela haya... hii m 3 mi mpaka niiweke mkononi si kitoto...
 
Huko kuwa na hofu sijui ila inawezekana magufuli anawapigia simu Sana hawa viongozi wa kubwa nyakati za usiku mkubwa
Rejea ya makonda alisemaga ameulizwa na masheikhe vipi hivi mzee analala usiku makonda bila kuwaelewa lengo lao akawajibu kwamba mzee alaligi usiku anakuwa macho kwa kujenga nchi wajuzi wa mambo wakamcheka sana na kumuhita majina ya ajabu ajabu point inawezekana magufuli anawapigia simu Sana usiku nakuwapa majukumu magumu ambayo ayawezekani tena akiwaambia mimi nitayasimamia
 
Kwa kipindi cha siku 17 (kuanzia tarehe 1 mpaka 17) kipindi icho wanapokea Tshs Million 110. Ambayo ni sawa na million 6.47 kwa siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Tangazo LA ndugai Leo nimegundua bunge Ni kichaka cha wizi.je hela waliyopewa kina mahige, ndasa Na rwakatare itarudi? Unalipaje wabunge posho ya kikao kabla ya vikao? Hili bunge lilipaswa kukaguliwa Ni wizi mtupuu
ndiyo maana Spika akamkandia sana CAG Prof Assad maana kuna madudu yanaendelea Bungeni Spika hataki yajulikane, kama hili la kulipa watu posho kabla hawajafanya kazi, this is total misuse of Public funds
 
Ndugai kapwaya unamlipaje mtu posho hajafanya kazi? Kwa minajili hiyo kuna mawaziri nao wamelipwa posho hawapo bungeni wapo ziarani mikoani wanakula posho za wizara hii si ni double payment ya posho?
ni uhuni tu spika anaufanya
 
Na yule kiongozi anafunga shule na vyuo huku ma baa na club zinakesha Mungu ana Mwona
 
safi kabisa maana wenyewe wakishapiga hela hawana habari kua hizo hela ni zawananchi masikini wenyewe wanakula bata tu
 
Yapaswa ifuatiliwe usikute marehemu mama rwakatale, mzee mahiga waneondoka na posho za vikao vya ubunge dah inasikitisha sana
 
Wewe bogazi kweli sasa kama humu cdm ipo mtaani inakosekana vipi? Tuliopo humu jf ndio tupo mtaani.
Wew kilaza humu jitu moja lina id fake zaidi ya kumi,

Mbaya zaidi hayapigi hata kila, chadema yameshajifia hamna kitu

Mmebaki tweeter na jf tu, mnapayuka, Magu nyoosha hawa nyumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee huyu huwa anafikiria POSHO tu, katikati ya janga hili mzee ni posho...

Yaani COVID-19 na kanuni zake za kujikinga nayo haina maana, priority ni POSHO na si kuokoa maisha yako na ya wengine pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…