MtazamoWangu
JF-Expert Member
- Apr 25, 2009
- 313
- 7
Matokeo yatakuwa hayahaya. Cheyo naye ndivyo anavyoiendesha UDP yake.Kuna haja ya uchaguzi kuitishwa sasa hivi mara moja
Matokeo yatakuwa hayahaya. Cheyo naye ndivyo anavyoiendesha UDP yake.
Hili bunge la Tanzania mwaka huu kuna vituko napata wasiwasi hadi huu mkutano wa bajeti uishe watatwangana mangumi, maana kila mtu anataka ajijengee jina jimboni mwake.
Mungu linusuru bunge letu,
Taratibu na KANUNI zinazoliendesha Bunge wengi hatuzifahamu. Kama Spika Sitta kakosea atabamizwa na wengi tu. Ana "MAADUI" wengi mle Bungeni.Kwa hiyo ni sawa Sitta amdhalilishe eti kwa sababu anaiendesha UDP kibabe? Kama Cheyo ni chizi basi na Sitta anatakiwa awe chizi? No plse. Hakuna sababu ya msingi kwa mtu mzima kufanya maamuzi ya kitoto kama aliyoya fanya Spika Sitta, mtu anayeongoza muhimili muhimu katika nchi yetu.
Huyu aliwahi kuchapwa Viboko na Mwalimu Nyerere na Pia wakati ule pale Mlimani kwa utomvu wa Nidhamu leo yeye anasema kuwa mwezake hawana nidhamu jamaani
Aliwahi kuchapwa Viboko na Mwalimu Nyerere kwa kufanya maandamano na kudai haki yao wao na wakti ule hata Yoweri Mseveni, Leo naye anageuka na kuwa kama hawa, Alishawahi kufukuzwa hata Chuo na kwa msamaha wa Mw Nyerere ndio akarudi Chuo na Kumaliza LLB yake
hahahahahhhhahahahaha. haki ya mungu kumbeeeeee
Siamini kuwa Spika aliuliza kama jamaa ni CHEMISTRY! Anasingiziwa.
Amandla......