Spika siyo lazima atii Mahakama

Umeshindwa na mmeshindwa! Unadhani hizi ni enzi zenu zile? Halafu hujitambui wala huitambui katiba. Unajua mihimili mi3 ya nchi na autonomy ya kila muhimili?

Dictator tu ndiye asiyeona wala kujali kuwa kila mhimili una mamlaka na unajitegemea bila kuingiliwa na mwingine. Hakuna cha kujichimbia wala nini. Kama huamini subiri, upate majibu so soon!
 
Shule.....shule.,..!
Msamehe bure! Madhara ya kutoenda shule!!!
 
Nyie akina mama awamu hii mnakiburi sn
 
Mkuu hakuna hilo! Kwa sababu Supika alisema hawezi kuwafukuza Ubunge mpaka hapo Mahakama itakapotoa maamuzi kuhusiana na shauri walilopeleka mahakamani.Sasa Mahakama imetoa maamuzi atafanyaje?
Atasema hajapokea barua rasmi, anavuta muda mbunge livunjwe asuburi mwezi wa 9
 
Ajaribu

Sugu anapiga JARAMBA
 
Kwani we unaona nini kinaendelea mkuu? Hawatoki wale na hakuna mtu atanfanya kitu spika
Yawezekana ungependa sana akina Mdee waendelee kubaki bungeni hata baada ya shauri lao kutupwa na mahakama. Kwanza kwa mitazamo yako ovu, uliyoirithi kutoka kwa Dhalimu aliye endazake, watia aibu. LAKINI Waonaje ukisubiri yeye mwenyewe ndio atoe tamko lake.
 

Kwa hivyo alivyosema wasingeenda mahakamani angewafukuza alikuwa na maana gani? . Wameenda mahakamani wamepigwa Chini. Bora angenyamaza. Hakuna spika kilaza Kama huyo.
 

Nchi haiendeshwi kwa matakwa ya mtu Bali sheria.
 
"Hawana la kufanya". Hii kauli huwa inatumiwa na MADIKTETA na huwa ndiyo inaamsha HASIRA ya umma.

Mmelewa madaraka, mnaona sasa wananchi kodi zao zitumike pasipo halali na hawana cha kufanya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…