Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Sina hakika kama una elimu hata ya mtaani ya sheria;Kama kuna issue itampa umaarufu na heshima duniani speaker tulia ackson ni hii ya wabunge waitwao covid 19
Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu
Akiwatetea wanawake wenzake hakika feminists duniani watamxhukulia kama shujaa wao na bila shaka atakuwa president ajaye
Piga kazi spika usiwatoe hao achana naa makelele ya wanuka jasho hawana la kukufanya
Ila kwa kifupi tu ni kuwa; Bunge kuwa muhimili unaojitegemea haimaanishi kuwa Bunge lipo juu ya sheria.
na ujue Wabunge waliopo Bungeni wamewekwa pale kwa kufuata Katiba ambayo ndio sheria mama; na maanisha wabunge hawajawekwa pale Bungeni kwa kufuata sheria za Bunge. Kama sheria mama (Katiba) haiwatambui wabunge, haitaingia akilini sheria Ndogo za Bunge ziwatambue; labda wakate tena rufaa.....
Mimi sijasoma sheria ila hata kwa akili ya kawaida tu, post yako haina mashiko!!!