Spika siyo lazima atii Mahakama

Spika siyo lazima atii Mahakama

Ama kweli wewe ni njaakalihatari maana unandika toka hewani, siyo akilini. Yaani just, AKIPENDA..

Yaani ni kusema kuwa tutakuwa tunaishi kwenye nchi ya "ANIMAL FARM" au basi sema "BANANA REPUBLIC" kwa sababu viongozi wetu watakuwa wanatoa maamuzi yao simply tu kwa sababu, watakuwa WANAPENDA..!!

Haiko hivyo na haitakuwa hivyo for more another time.

Kama Hakimu/judge aliyetoa hukumu hiyo ya kina Mdee hakutumia principle ya "AKIPENDA" basi hata Tulia Ackson hatafanya kwa kuwa, AMEPENDA...!!

Mkuuu ww unaongea kwa chuki tu kwa sababu unataka watolewe Bungeni au unaongea kwa vile umesikiriza shauri aliloltoa Jaji wa mahakamani ...Jamani tujifunze kufatilia mambo kabla ya kujiwekea mawazo yetu.
 
Spika alishasema kuwa kama si hawa wabunge kwenda mahakamani angeshawaondoa. Na sasa mahakama imetupilia mbali ... Kilichobaki ni wazi.

Mahakama imetupilia mbali au imesema kwenye ufunguzi wa jarada lao la kesi yao akina Mdee kuna makosa wamefanya/Yamefanyika na wanaweza kuyalekebisha?
 
Kama kuna issue itampa umaarufu na heshima duniani speaker tulia ackson ni hii ya wabunge waitwao covid 19

Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu

Akiwatetea wanawake wenzake hakika feminists duniani watamxhukulia kama shujaa wao na bila shaka atakuwa president ajaye

Piga kazi spika usiwatoe hao achana naa makelele ya wanuka jasho hawana la kukufanya

Mkuu, kwani ni taasisi gani ilimtaarifu Spika kufunguliwa kwa shauri la akina Mdee siku aliposema “Isingekuwa shauri lililofunguliwa mahakamani, ningetangaza viti 19 kuwa wazi”.

Ungekuwa na uwezo hata kidogo wa kufiriki, ungejiuliza - wakati anasema hivi, “tume ya Uchaguzi ilikuwa imeshamwambia nafasi hizo zi wazi?” Je, ni taasisi gani ilimtaarifu Spika kufunguliwa kwa shauri na ni ipi itamtaarifu uamuzu wa mahakama.

Sentensi yako ya mwisho ndio msingi mkuu wa mambo tunayoendelea kuyaona - “hawana la kufanya”. Mara nyingi mwenye mamlaka humwona asiye na mamlaka katika mwonekano huo. Mtu anayenyimwa haki huwa mhanga wa “atanifanya nini?”
 
Narudia tena spika ahangaiki na hayo makaratasi yenu yanayoitwa katiba, covid 19 wako bungeni hawatolewi kwa vi memo vikaratasi na hakuna kitu mtafanya
 
Hii takataka ndio inawapotezea muda wote kumuelimisha?

Mna moyo.
yaani wewe kifutu ambaye hata ukinya chooni wapangaji wenzako wanahama nyumba kwa muda you have audacity to call me takataka? utopolo mkubwa
 
Mkuuu ww unaongea kwa chuki tu kwa sababu unataka watolewe Bungeni au unaongea kwa vile umesikiriza shauri aliloltoa Jaji wa mahakamani ...Jamani tujifunze kufatilia mambo kabla ya kujiwekea mawazo yetu.
Mimi hata sijakuelewa ndugu. Wewe hoja yako ni nini kwani? Chuki mimi nimchukie nani sasa..?

Na, Je kwani siyo kweli kuwa tayari mahakama imeshatoa uamuzi wa shauri lao walilolifunga kuutetea ubunge wao? Si wameshindwa tayari..?

Kuna kipi kingine ulitaka nifuatilie kisha niandike nilichokiandika...?

Wewe ndiye unayeonekana kuwa hujui hata nini kinaendelea...!!

Kumbuka pia maamuzi ya Spika Dr Tulia Ackson mara alipopelekwa taarifa na CHADEMA ya kuvuliwa rasmi kwa uanachama wa kinamama hao wajiitao "wabunge wa CHADEMA"..

NGOJA NIKUKUMBUSHE;

Alisema, nimepokea taarifa kwa wabunge hawa kuwa wamefungua kesi mahakamani kupinga maamuzi ya chama chao. Kwa hiyo, bunge lisingechukua hatua yoyote ya kuwaondoa bungeni hadi mahakama itakapotoa maamuzi yake..

KUMBUKA PIA, wakati Spika anatoa uamuzi huu, hiyo kesi mahakamani ilikuwa haijafunguliwa achilia mbali mahakama kutoa "zuio la muda" la ulinzi wa ubunge wao...

Spika alitamka hayo asubuhi ya saa 4 siku hiyo, halafu "Temporal injunction" ya mahakama ambayo Spika ndiyo angeitumia kutolea maamuzi yake yale ikatoka saa 9 jioni siku hiyo...!!

All in all, Sasa maamuzi yemetoka. Kwanini huyo Spika asitumie njia ileile kulimaliza hilo?

Narudia kusema tena kuwa, mimi sina chuki na mtu. Tunajadili yaliyopo katika uhalisia wake..
 
Kama kuna issue itampa umaarufu na heshima duniani speaker tulia ackson ni hii ya wabunge waitwao covid 19

Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu

Akiwatetea wanawake wenzake hakika feminists duniani watamxhukulia kama shujaa wao na bila shaka atakuwa president ajaye

Piga kazi spika usiwatoe hao achana naa makelele ya wanuka jasho hawana la kukufanya

nyie wanafiki sana hamuwapendi Chadema wala wabunge wa Chadema!. Mnapigana na hewa hawa ni wabunge wa fikra zenu tu hawako Chadema, CCM ................... wapo kwenu tu. Yaani wakiendelea kukaa sio mbaya kwa Chadema maana mnawasaidia kujenga hoja vizuri zaidi na mifano halisi. Mahakama wamejitoa mapema!
 
Back
Top Bottom