Spika siyo lazima atii Mahakama

Sina hakika kama una elimu hata ya mtaani ya sheria;
Ila kwa kifupi tu ni kuwa; Bunge kuwa muhimili unaojitegemea haimaanishi kuwa Bunge lipo juu ya sheria.
na ujue Wabunge waliopo Bungeni wamewekwa pale kwa kufuata Katiba ambayo ndio sheria mama; na maanisha wabunge hawajawekwa pale Bungeni kwa kufuata sheria za Bunge. Kama sheria mama (Katiba) haiwatambui wabunge, haitaingia akilini sheria Ndogo za Bunge ziwatambue; labda wakate tena rufaa.....
Mimi sijasoma sheria ila hata kwa akili ya kawaida tu, post yako haina mashiko!!!
 
Chadema bhana, ety atajipatia umaarufu duniani akiwafukuza hao wabunge 😂😂

Acha kuitaja CHADEMA hovyo hovyo. Tofautisha CHADEMA Kama chama na maneno ya mashabiki wa CHADEMA. Wenzako Jana wameangukia pua baada kushindwa kujua maana ya CHADEMA na Ni Nani wa kumfungulia kesi.
 
Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu
Duh!...haya maneno umeyatoa wapi ?
 
Kwani katiba si makaratasi tu? Isipofatwa mtawafanya nini? Bwege weeee

Wewe ndio bwege. Unataka kusema kill mtu aishi anavyotaka?. Nyie ndio mnanyonyana sehemu za Siri na watoto wa kindergarten. Unatetea Mambo ya kijinga kisa CCM. CCM yenyewe imekubali katiba mpya wewe unasema ni makaratasi.
 
Condom moja tu ilitosha kuiepusha dunia na takataka kama hii.

Wanaume tunapokamata makahaba tutumie condom, nadhani madhara ya kavukavu mnayaona haya.
 
Hata jamaa wa chattole alikuwa hivyo hivyo, leo funza wamekula hadi zaqali yake.
 
Condom moja tu ilitosha kuiepusha dunia na takataka kama hii.

Wanaume tunapokamata makahaba tutumie condom, nadhani madhara ya kavukavu mnayaona haya.
we utopolo mambo ya condom umeyajulia wapi nani aisyejua ulizaliwa pale mwananyamala kwa wahaya, mazako mwenyewe kahaba just shut the F up
 
JAMANI KATIBA KAKATAKAA KUIFATA COVID BADO WAKO BUNGENI MMEBAKI TU KUPIGA MAKELELE NA KUNUKUU MAKARATASI YAITWAYO KATIBA , HAIFATWI SASA, MTAFANYA NINI?
 
Hii ni hasara ya sheria ya kinga ya kutoshtakiwa kwa viongozi wakuu wa Serikali iliyopitishwa mwishoni mwa utawala wa awamu ya 5. Hakuna mtu anaweza mkushtaki speaker,mkuu wa polisi,mkuu wa majeshi,PM wala VC wakati anatekeleza majukumu yake hata kama wanavunja sheria.
 
Pigeni makeleeleeeeee ya katiba mpya kadiri muwezavyo ila ni makaratasi tu , mahakama hiyo imedharauliwa sasa
 
Inaelekea haujui maana ya maneno ya mtandaoni, kwa taarifa yako mwakilishi wa Bunge alikuwepo mahakamani kusikiliza kesi ya wabunge wao, sasa sijui hao wanasheria wa Bunge ndiyo mtandao!
 
Inaelekea haujui maana ya maneno ya mtandaoni, kwa taarifa yako mwakilishi wa Bunge alikuwepo mahakamani kusikiliza kesi ya wabunge wao, sasa sijui hao wanasheria wa Bunge ndiyo mtandao!
Hii takataka ndio inawapotezea muda wote kumuelimisha?

Mna moyo.
 
Spika alishasema kuwa kama si hawa wabunge kwenda mahakamani angeshawaondoa. Na sasa mahakama imetupilia mbali ... Kilichobaki ni wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…