Spika Tulia aanza ziara ya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya faida za mkataba wa bandari

SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.

Hivi anawaona wananchi hao ni wajinga sana eenh!!!?
Anawaona wananchi wa Mbeya ni kama mazumbukuku vile
 
Ila bado tuna safari ndefu sana, imagine mkuu wa mhimili wa Bunge yupo ziarani kuisemea serikali. Haya ni maajabu makubwa sana sema ndo hivo yupo kuongea na wajinga.
Tulia hajui kabisa kazi yake kama spika wa bunge ukichanganya na elimu aliyonayo nikajua atakua na akili ila anafanya jambo la kijinga sana

Spika anakuaje msemaji wa serikali,
How comes
 
SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.

Hii ni aibu, kuna nini nguvu nyingi inatumika kuwapotosha wananchi kuhusu mkataba mbovu na hazungumzii chochote juu ya vipengele vya mkataba wenyewe. Bunge na serikali waungana pamoja kuhadaa wananchi hii ni shida kubwa sana. There something to learn from Kenyan on DPW.
 
Ila bado tuna safari ndefu sana, imagine mkuu wa mhimili wa Bunge yupo ziarani kuisemea serikali. Haya ni maajabu makubwa sana sema ndo hivo yupo kuongea na wajinga.
Tulia hajui kabisa kazi yake kama spika wa bunge ukichanganya na elimu aliyonayo nikajua atakua na akili ila anafanya jambo la kijinga sana

Spika anakuaje msemaji wa serikali,
How comes
Kama atajibu hoja za shivji na mawakili wengine nitampa maua

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Mbeya hii hii ilikuwa inamfanya mpaka mwendazake anaiogopa sasa huyu kimbaumbau wanashindwa kumpiga na maysi viza au nyanya mbovu?
Mmepatwa na nini wana Mbeya hadi mnalinganishwa na wapumbavu?
Hakika mmekubali kufanywa mazuzu nyie
 
SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.

Yaani huyu dada ana dharau. Yaani anawaambia Wananchi wake kuwa yeye ana thamani zaidi kuliko wapiga kura wake.
 
Back
Top Bottom