Spika Tulia aanza ziara ya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya faida za mkataba wa bandari

Hivi speaker wa bunge sianatakiwa awe neutral? alafu kwanini bunge liidhinishe ule mkataba and then ndio mnakuja kushawishi na kuelimisha wananchi hii inatoa tafsiri ? .wabunge ni wawakilishi wa wananchi kile wanachotaka na sio wanaowaamulia wanachotaka wao .
 
Chema chajiuza kibaya chajitembeza.
 
SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.

Kama anajiamini atengeneza mdahalo na wakina Prof Shivji na Dr. Nshala.
 
Huyo ange pelekwa tuu kwenye vibonzo vya Zena na betina kunamfaa zaidi kule
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.

Akaelimishe mbwa labda ndiyo viumbe wanaotamani kuuzwa kwa mwenye fedha. Asijisumbue kuelimisha binadamu sisi. Binadamu hupenda uhuru na heshima.
 
Ila bado tuna safari ndefu sana, imagine mkuu wa mhimili wa Bunge yupo ziarani kuisemea serikali. Haya ni maajabu makubwa sana sema ndo hivo yupo kuongea na wajinga.
Tulia hajui kabisa kazi yake kama spika wa bunge ukichanganya na elimu aliyonayo nikajua atakua na akili ila anafanya jambo la kijinga sana

Spika anakuaje msemaji wa serikali,
How comes
Hichi kimenifanya nitafakari sana wajibu wa Speaker. Kama speaker anaweza kufanya haya. We are finished.
 
SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.

Attachments

  • 3164BC63-14D6-436A-8028-EE75988DB362.jpeg
    3164BC63-14D6-436A-8028-EE75988DB362.jpeg
    37.4 KB · Views: 3
  • 54F49860-06D2-4970-B7AB-4582A12626BF.jpeg
    54F49860-06D2-4970-B7AB-4582A12626BF.jpeg
    32 KB · Views: 3
  • 67AD3CA2-96F4-44B1-B6E9-73FA2D3D2994.jpeg
    67AD3CA2-96F4-44B1-B6E9-73FA2D3D2994.jpeg
    55.3 KB · Views: 3
  • 976CEF45-ED3C-4385-8C54-456C8A0F1D68.jpeg
    976CEF45-ED3C-4385-8C54-456C8A0F1D68.jpeg
    75.7 KB · Views: 3
  • FAAF7D6B-830C-4D6A-9B4F-CDBDD974B3B3.jpeg
    FAAF7D6B-830C-4D6A-9B4F-CDBDD974B3B3.jpeg
    150.5 KB · Views: 3
  • 4F54DFC8-20DC-414A-A6DD-E4A3F58788D5.jpeg
    4F54DFC8-20DC-414A-A6DD-E4A3F58788D5.jpeg
    131.1 KB · Views: 3
  • 609AFB05-709D-461B-952F-8E99557D8112.jpeg
    609AFB05-709D-461B-952F-8E99557D8112.jpeg
    55.1 KB · Views: 3
SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.

Kwamba ni mkataba au Makubaliano?!!! Kwanza Mbeya hakuna Bandari!
 
kitu ambacho hajui, watanzania wote ni wadau wa bandari haijalisha tufanya biashara au hatufanyi biashara.
 
Pamoja na kwamba Tulia ni mzaliwa wa Mbeya ninauhakika kabisa bado hajaielewa Mbeya!
Hata Kasumulu ni Mbeya ujue,huyo hajazaliwa Mbeya mjini,aliyezaliwa palepale Mjini simtaji jina.
 
SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.

Kwahiyo nahii ziara tunagaramia sisi walipa Kodi au DP?
 
SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.

hana uwezo kusimama jukaani au kwenye mdahalo na mwabukusi huyo. naona hata sugu kalala usingizi, namshauri mwabukusi achukue kabisa hicho kiti cha mbeya manake sugu na tulia hawafai.
 
Back
Top Bottom